JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hallo wana jf. Hakyamungu sheria za nchi hii zingeruhusu kutembea uchi, hawa wanawake wa kitanzania wangetembea uchi. Yaani mavazi yao ni robo tatu uch sio nusu uch tena. Wamelaaniwa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
At the cocktail party, one woman said to another, “Aren’t you wearing your wedding ring on the wrong finger?” The other replied, “Yes I am, I married the wrong man.”
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna jamaa angu m1 alikuwa anapiga deiwaka kwenye kampuni flan hivi kamuda kalipita, boss wake akawa anampango wa kumwajiri. sasa jamaa akaambiwa apeleke picha 3 ili apate ajira ya moja kwa moja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sina uhakika kama imewahi wekwa hapa.......... An airplane was about to crash; there were 5 passengers on board but only 4 parachutes. The first passenger said, " I'm Kobe Bryant, the best NBA...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna wanandoa wawili walikua na tabia ya kudanganyana ktk ndoa yao..siku moja mke alilala nje na aliporudi asubuh,mumewe akamuulza alipolala,ye akamwambia alilala kwa rafiki yake wa kike,mumewe...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
K
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kuna jamaa wawili, ni vibaka, sasa walimuona dada mmoja pale Mwenge ameweka pesa nyingi tu kwenye temperature yake, anasubiri daladala. Wakapanga kwenda kuzichukua, muda wote mi nawachoraa tuu, wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii message ilitumwa kwenda kwa Obama kutoka kwa Bin Laden.Inasomeka hivi; {'370H55V 0773H'}.CIA na FBI wameshindwa kuitafsiri,obama anaomba msaada...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
kulikuwa na mlevi anakatiza mitaa ya makaburini ambapo pembeni yake kuna kanisa;kumbe kule makaburini kunawaizi wanagawana kuku wakisema huyu "wangu huyu wangu" kidogo mlevi akasikia sauti...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mzee mmoja wa kiswahili alikuwa amezoea sana kujifunga kikoi bila kuvaa chupi.Bas mwanawe aliamua kumnunulia chupi tatu za rangi nyeupe nyekundu na ya kijani.mzee aliamua kuvaa nyeupe na mida ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
7h15 m3554g3 53rv35 7o pr0v3 h0w 0ur m1nd5 c4n d0 4m4z1ng 7h1ng5! 1mpr3551v3 7h1ng5! 1n 7h3 b3g1nn1ng 17 wa5 h4rd bu7 n0w, 0n 7h15 lin3 y0ur m1nd 1s r34d1ng 17 4u70m471c4 lly w17h0u7 3v3n 7h1nk1ng...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Hapa kijijini kwetu kulikuwa na dada mmoja kiruka njia sana. Ilifikia wakati watu wote walimjua na hata wanaume wengi kuwa wameishaenda naye. Siku moja mfalme alimwita na kumuuliza hivi kati ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kijana mmoja anayesoma kidato cha tatu kanijia kuniomba ushauri.Tatizo lake ni kwamba licha ya kusoma kwa bidii sana lakini anaishia kufeli katika mitihani.Udhaifu alionao ni kwamba anaposoma...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watoto wawili mapacha(Tim&Tom) walienda sehemu kununua Ice Cream.Ice Cream ndogo inauzwa sh.500 na Ice Cream kubwa inauzwa sh.1000.Tim alimpa muuza Ice Cream sh.1000,muuzaji akampa Ice Cream...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Jamani naombeni mnikaribishe Dar wana JF, kesho ndo natinga rasmi. Nitaondoka hapa mkoani majira ya saa 5 asubuhi na zile gari zinazoleta magazeti. Natumai nitatinga Dar majira ya saa 12 jioni...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Jamaa baada ya kutoa maelezo kwa daktari kuhusu matatizo ya mkewe kutokusikia vizuri,daktari alimshauri aende nyumbani,akajaribu kumsemesha kwa umbali tofauti tofauti mpaka pale atakapomjibu ili...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani ndo nimetinga jijini sioni mwenyeji hata mmoja kila anaepita naona yuko busy. Hii gari ya magazeti imeniacha kuku mwanzo mwanzo kabla ya kuingia DAR kumbe hawaruhusiwi kuingia mjini na...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Imagine u setting a rat trap, it catches a rat ‎​n u see the rat doing this !! =))
0 Reactions
16 Replies
2K Views
JK na kibaki walipata mualiko kwenda ulaya.walipofika ugenini waliandaliwa karamu ya kukata na shoka.mezani kulikuwa na vijiko vya dhahabu na wote wawili walikuwa na mpango wa kupita na kimoja ila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam wana JF. Huwa nikimiss kuingia jf kwa siku nzim nakosa raha. Je! Wewe ukimiss nin unakosa raha? Wasalaam.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom