JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wapendwa wana wa JF, napenda kuungana nanyi katika kusherehekea miaka 3 ya ndoa na miaka 11 ya mahusiano na my wife wangu. Ni jambo dhahiri kuwa kufikia hapa tumevuka milima na mabonde mengi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna jamaa aliulizwa kwa nini hurricanes hupewa majina ya kike,yeye akajibu: because they come WET and WILD and they leave with your CAR and your HOUSE
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Why is SEX so important to us all if it takes up sooooo little of ourtotal time??? For example - the experts tell us that people in a "healthy" married relationship should havesex 2 or 3 times...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Jamaa mmoja alikuwa anapiga chabo dirishani hapa street kwetu, wakati wana ndoa wakiwa kwenye mahaba, mara huko nje ya nyumba akawa anakatiza mtu na baiskeli aliyekuwa ghafla tairi la baiskeli...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mzee mmoja aliingia kwa Doctor huku akiangua kilio.....Doctor akamuuliza vipi?... Jamaa huku ameweka mikono kichwani akamwambie, Doctor...hivi ile dawa ya kupaka uliniambia ninywe mara ngapi...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
haha haaaa haha ha ha haaaa uuuuhiii hi hi hi hi aii hiii hihi dah yani kunamchizi kanichekesha hapa nilipo..!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
She sends him the following message on SMS: My love If you're sleeping, send me your dreams If you're smiling, send me your smile If you're crying, send me your tears I love you... He...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
My Dear Brother Elia, Kwa heshima na taadhima napenda kuchukua fursa hii kukutakia Heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mungu akuzidishie maisha marefu uishi miaka mingi Duniani. Msisitizo kwa...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamaa yangu kaingia jana saa tatu usiku akitokea Mwanza, kazunguka Sinza yote bila mafanikio, kila gesti imejaa. Kinondoni, Magomeni, ilala, Tabata na Buguruni. Saa saba usiku akakata tamaa akaja...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Katika utafiti uliofanyika kwenye hospital ya Muhimbili, imebainika kuwa asilimia 80% ya watu wenye umri kati ya miaka 15- 57 nchini Tanzania wanaosumbuliwa na ugonjwa wa moyo ni mashabiki wa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Why doesn't Tarzan have a beard? Why do we press harder on a remote control when we know the batteries are flat? Why do banks charge a fee on 'insufficient funds' when they know there is not...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
katika gate ya ikulu mzee mmoja alikuja na kumuomba askari ruhusa kumuona rais JK.askari akamjibu mzee kwamba JK si rais tena na wala hakai ikulu.mzee taratibu akaondoka..siku ya pili mzee akarudi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mapenz yananiumiza kichwa,nimekuwa nikimpenda mwanamke kumbe nalea mimba ya mwanaume mwenzangu.ckujua kama mjamzito. 0 p.d tttm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwa natumia usafiri wa daladala, kuna mambo ambayo huwa yananiletea maswali kama: 1. kwa nini wanaotaka kumkoromea konda au hata abiria wengine huwa wannasema......unajua unaongea na...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
Jamani ndugu zangu mimi nilikuwa nawapa kampani kufunga lakini leo hat mmoja wa kusema First Born karibu hakuna? AshaDii????????? Dena Amsi?????????? Husninyo??????????? Ex pastor...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
baada ya binti kujifungua mazungumzo na mama mkwe wake yakawa hivii, Mama mkwe: Binti samahani lakini kusema ukweli mtt hafanani kabisaa na kijana wangu, Binti: Mama bila samahani, huku chini...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
madereva wawili walikua wanaendesha magari kuelekea kwenye daraja ambalo ni gari moja tu lina uwezo wa kupita...! walikua wanaenda kwenye opposite direction yani huyu anaenda kule na mwingine...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hii ni mitaa ya k/koo wana jamii..! dogo mmoja alikua na mama yake wanatafuta vitu vya kwenda kutengeneza futari kama jinsi wakati ulivyo si mnajua wenyewe..!? sasa hapo sokoni mbele ya mama na...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Jamani nina swali,kuna jamaa aliona shati zuri inauzwa buku,akaazima jelo kwa mama na jelo kwa baba.Alipoenda kununua shati akapunguziwa bei ikawa 970,jamaa akaona bora apunguze madeni,akalipa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom