Jamani nataka kununua Xtrail, lakini watu wananiambia eti ni mabovu, nimemuuliza aliye niambia kuwa mabovu kuwa yana ubovu gani anasema hajui ubovu wake, ila ameambiwa kuwa sio imara.
Naomba...
Watoto wapo hospitali,mtoto wa kwanza kamwona mwenzie analia ikawa kama hivi:-
MTOTO WA KWANZA:Unalia nini?
MTOTO WAPILI:Nimekuja kupima damu
MTOTO WA KWANZA:Ndio sababu unalia?
MTOTO WA...
kila siku najiuliza kuhusu adam na hawa , katika vitabu vyote vya dini vinaeleza kuwa sisi sote ni wana wa adam lakini inakuaje sisi waafrika tu weusi,au baba yetu adam au mama yetu hawa mmoja...
Msomaji wetu mmoja ametuandikia na kutuuliza swali ambalo limetuwia gumu kidogo kulijibu.Anasema, hivi karibuni alipokuwa nchini Tanzania(anaishi ughaibuni) alikuwa akisikia sana msemo wa mitaani...
Hawa wanachuo wamezuiliwa kuvaa suruali kutokana na na sababu wanazozijua wao uongozi,ila majuzi nimetembelea pale yaani nguo (vimini) zinazovaliwa,mi naona bora suruali.
Vichaa kutoka asylum moja wanapelekwa nchi jirani kwa ndege kucheza mechi ya kirafiki na vichaa wenzao huko.
Kwenye ndege hakukaliki,mara huyu kamrushia mwenzie mpira,mara huyu ka inflate life...
Ukijumlisha miaka yako, mfano 19 na digit mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa 1992 jibu litakuwa 111, basi hivi ndivyo ilivyo kwa watu wote mwaka huu, jibu lazima liwe 111, au 11 au 1. Hii ina...
kimsingi nimependezwa sana na kila mmoja wenu waliochangia mada yangu,nimefurahi sana kwa asilimia kubwa kuniponda na kutoa maneno yaliojaa kejeli matusi na dharau tele,nchi hii ni ya demokrasia...
Crappy Story
There once was a nonconformist bird that decided not to fly south for the winter. He said "I've had enough of this flying south every winter, I'll just stay right here on this farm...
Kwako Mhe. Rais
Salamu nyingi sana zikufikie popote pale ulipo. Nasema popote pale ulipo kwani sijui nifikishe salamu hizi hapo magogoni au tayari umeshaelekea safarini. Tuyaache hayo nakuombea...
Zingatia Haya!
Kumpata mwenza au mke au mume ambaye utaishi naye maisha yako yaliyobaki hapa duniani ni jambo la msingi sana katika maisha ya binadamu.
Na kwa kupenda wenyewe hupelekana hadi...
once upon a time a guy asked a gal "will you marry me?" and the gal said no then the gal was free to go partei with her friends,had clean house,rarely cried or yelled,did not get fat, never...
Ku-act ni kuigiza.
Leo hii tuna waigizaji wengi sana nchini, na mabo machache yanafanyika kiukweli.
Tuanze na Mkuu wetu wa Nchi-Presidaa
Acting Presidaa daima yuko safarini, ana act kuwa presidaa...
Enzi za ukoloni mzungu mmoja alikuwa anapita chini ya mwembe, alipoangalia juu ya mwembe akakaona katoto kametanua miguu juu kwenye matawi mawili na jicho likatua kwenye kitengo. Kwakuwa kale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.