JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
A man called at the hospital asking for his pregnant wife. Accidentally he called at the cricket stadium, the answers he was given, made him confused nearly dead: Hello how is the condition...
0 Reactions
1 Replies
774 Views
- I mean nipo njiani hapa kwenye Treni, ninatokea Boston kurudi New York City, njiani humu ninajionea Wazungu masikini, lakini nyumba zao ni safi, maeneo yao ni masafi, nyumba za mbao na mabati...
8 Reactions
93 Replies
8K Views
Sijui kama ni jukwaa sahihi au lah! Kwa wale wapenzi wa tamthilia ya Daniela ya chanel ten shost anaomba kujua jana imeendeleaje kwa summary, huu mgao wa umeme hauwak cku ya pili leo.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hivi unamjibu vipi mtoto wako au yeyote wa umri wa miaka kuanzia 3 hadi may be 10, anapokuuliza mtoto mchanga anatoka wapi.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mpitanjia mmoja alimkuta mvuvi kakaa chini ya mti akipumzika huku akiwatazama wavuvi wengine wakiendelea na kazi,mazungumzo yakawa kama ifuatavyo; (MPITANJIA):We mvuvi acha uvivu,nenda kafanye...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimewamic sana wana wa jamiiforum.ni cku nyingi sana cjadondoka humu nahc mpaka nimekua mgeni tena ingawa wapo watakao nikumbuka. Namshukuru mwanajamii alienitoa stoo nilikokua cku zote...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
kuna jamaa mmoja alimpa dent mimba kuona hivyo jamaa akaona bora aende kwa sangoma amsaidie maana miaka 30 inakaribia sangoma akamsaidia kwakumbadilisha nyeti zake kuwa za kike kwa muda ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba nisaidieni wana JF Wenzngu, hivi zawadi nzuri kwa biRTHDAY ya mupenzi wngu iwe vp?na apewe wakati gani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba nianze thread yangu kwa kuwakumbusha kidogo physics, Nadhani wengi mnakumbuka jinsi pendulum inavo-swing kushoto na kulia. Sasa nataka kuirelate movement ya pendulum na ubongo wa binadamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tukifananisha makampuni ya simu na mademu tunaweza kupata majibu yafuatayo kitaaa! ni udaku tu usichukie Airtel ni sister du anaependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Siku moja jamaa fulani akawa hajasoma na bado course work ikawa sio nzuri sasa katika test ya mwisho akaona bora ajihami mapema, siku moja kabla ya paper jamaa akaenda kwenye venu ya test...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CCM ndio chama kinacho ongoza nchi. Chama hiki kinaongoza nchi masikini na watu wake wengi ni masikini wa kutupwa, wa kipato na hata fikra. Wabunge wake ndio wanao ongoza kwa kulala bungeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukigeuza neno JAMII FORUMS/ HOME OF GREAT THINKERS kwa mpangilio wa kuruka herufi moja kimahesabu utapata neno FREE MANSONS TAKE ON. Inawezekana hii ikawa sababu ya kubadilisha jina kutokaa Jambo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani leo nimecheka sana sababu nimekutana na classmate wangu wa primary nikawa nimemsahau jina ila nikawa nalikumbuka jina la enzi za shule nilipomwita jamaa alikasilika kweli, lakini si huyo tu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani najua wapo wengi lakini, kwa suala hili sakata la rada ningekuwa ni mimi wa kwanza ni Hosea then Chenge, sikuu nyingi wa ngekuwa huko tena pasipo kuruhusu dhamana
0 Reactions
12 Replies
1K Views
A young man goes to a doctor for a physical examination. When he gets into the room, the man strips for his exam. He has a dick the size of a little kid's little finger. A nurse standing in the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa kijaluo alipatiwa mtihani wa insha ilionza hivi nilipofika nyumbani nilimpata mama amepigwa na butwaa na bumbuwazi..... Mwanafunzi akaendeleza....kitu ya kwanza naenda kwa kina...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wana jf naombeni tukumbushane vitimbi vya primary enzi zile. Nakumbuka ilikua ukinunua andazi unaliweka mdomo zimazima au unalitemea mate ili usiombwe du! Kanyaga twende
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukiwa na stress ingia humu tu, utacheka mpaka upone hiyo stress, yaani ni mipasho tu, hahahahahaaaaaaaaaaaaa, kila hoja inayowekwa hata kama inadai majibu ya hoja, hutayaona, bali utakutana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Two presidents are talking over coffee and croissants at their country club one day. Kagame, of Rwanda, says to Kibaki(Kenya) "Hey, I tell you my driver is really stupid. Do you doubt me...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom