Huyu mzee namzimikia. Daima hakuna kuchelewa. Mtu anaweza kutimiza malengo na ndoto zake bila ya kujali umri. Kitu kimoja ambacho ni hakika ni pale aliposema "siku hizi watoto wetu hatuwafunzi...
PakaJimmy PakaJimmy huyu mwenzetu anayeitwa PakaJimmy anayependa sana kuifokea laptop, alikuwa na pacha wake PakaMweusi, sijui amepotelea wapi PakaMweupe ambaye alielewana sana na PakaJimmy...
Una ndoo mbili,A na B.Ndoo A ina lita mbili za vinegar na ndoo B ina lita mbili za maji.Chukua lita moja ya vinegar kutoka ndoo A kisha changanya na lita mbili za maji katika ndoo B.Changanya...
One day, John came home with another one of his unusual purchases.
It was a robot that John claimed was actually a lie detector.
When Tommy, their 11 year old son returned home from school passed...
Hii ni mahususi kwa wauguzi/wakunga/watoa huduma za afya/ n.k waliosoma Ndolage Nursing School..
Hiki chuo kilikuwa na mandhari mazuri sana ya kusoma na kujifunza na kufanya majaribio kwa...
Asante Mungu kwa kumchukua FATAKI aliye kuwa anatuharibia wanafunzi wetu, ndio maana hata matangazo ya kuwatahadharisha watoto wajikinge na Fataki siku hizi hayapigwi kwa kuwa kisha fariki.
James and Jerome were on a camping and hiking trip.They had gone to bed and were lying there looking up at the sky. (JAMES ASKED):Jerome,look up,what do you see? (JEROME):Well,I see thousands of...
Waswahili 2 wavivu sana baada ya kucheza bao wakataka kuita taxi iwapleke msibani, kila mmoja anajisikia uvivu kuita taxi, baada ya mabishano marefu mmoja akaita taxi iliyokuja na kusimama mbele...
Nimekuwa natafakari kwa muda mrefu ni vigezo gani anatumia kikwete kuteuwa VIGOGO wa serilika yake ni vipi
kwa mfano pamoja na mrindoko kupata kashifa nyingi hasa ya richmond alimkumbatia na...
Wana-CCM wawili a.k.a. wavua magamba walikuwa wakizungumza, mmoja akamwambia mwenzake kuwa mkewe amejifungua pacha 3 kutokana na kusoma sana mambo ya RACHEL, mwenzake akataharuki sana na kutaka...
Mwanafunzi alamuuliza mwl wake hivi honey ina miguu? mwl akamjibu haina nani kakwambia? mwanafunzi akamjibu kila mara namsikia baba usiku mwingi akisema honey nyanyua miguu. Mwl akashikwa na butwaa.
Kama mbunge analala hotelini kwa 50,000 kwa siku,je,inagharimu kiasi gani kwa wabunge wetu 350*50,000kwa siku*siku za vikao vya bunge*miaka5??
Hivi ni kwa nini serikali isiingie mkataba na NSSF...
Mnamo tarehe 22-12-2010 waziri wa elimu alikuja Udom kutatua tatizo la wanafunzi kutokwenda field ila alitoa tamko kwamba TCU ipo chini yake atakwenda kuiagiza ipitishe degree zote zile ambazo...
Habari wana jf mimi naishi manzese nataka sana kufatilia vikao vya vijana bavicha na zaidi kujitolea kwa cdm lakin sijui kuna taratibu gani plz nisaidieni nifanyaje kwan hapa mtaani kwetu kipo...
Jamani tunaomba msaada wa video ya mheshimiwa zitto akitoa speech ya budget au kama mtu
anajua inapatikana wapi (source)tufahamishane please wengine sisi ni wapenzi wa kusikiliza kuliko kusoma.
Nafahamu huyu jamaa alikuwa anafanya kazi PSI-TANZANIA kama buyer, ila sikumbuki kama alikumbuki kama jina la obama alikua nalo, wadau mnaomjua huyu jamaa naombeni data.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.