Mlio sikiliza power breakfast Leo najua Mmeipata vizuri.
Jamaa mburahati kauza mishkak ya paka for the last four years!
Amekiri kwa siku anauza paka wanne na kuendelea.
Hivi huyu jamaa hawezi...
Jamaa mmoja alimpokea baba yake kutoka kijijini.Baba yake toka kuzaliwa hakuwahi tia mguu mjini.Jamaa alikuwa akiishi mjini katika chumba kimoja na mkewe na mtoto wao mmoja hivyo ikawa vigumu...
Kuna mabasi mawili yakiwa na familia inayojiita ya babu yanaelekea kwa babu yakitokea mbeya
madai yao hawendi kutibiwa wanaenda mtembelea ndugu yao.
Wengine wanadai ni mjomba wao..
Wengine binam...
Hii ilitokea huko wilayani chunya mkoani mbeya.Mke na mume wakitoka shambani mara ghafla chatu mkubwa aliwavamia na kumdaka mwanaume.Wakati chatu anajiandaa kumvunja mbavu na hatimaye...
When darkness falls and were apart
Can love heal this lonely heart
I love you dearly that I do
Sleep is good when dreaming of you
With all my love I give to you
You are so sweet I know not how...
Mimi ni mwanaume. Naishi Dodoma. Natafuta mpenzi wa kuliwazana. Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Sitanii, kwa hiyo na yeye asitanie. Atakayekuwa tayari ani-PM.
Ahsante
Wanajamvini naomba msaada kwa anayejua . nina karatasi yangu muhimu nimekosea kuandika nilipenda kuifuta ili niandike tena. wenzangu hapa ofisini wamenishauri baadhi ya dawa kama nail remover ...
Mbwembwe zote umekuja ukifurahia umepata kazi serikalini,Taasisi za benk,Mashirikaya kimataifa Kwenye makampuni ya uwakili kumbe yote umenisaliti mkewangu umehonga kitu nilichokitolea...
Je,
1.una kipaji cha kuhuzunika na kuweza kutoa hadithi feki kumuhusu marehemu jinsi alivyokuwa mtu mwema?
2.Una mavazi rasmi ya kuombolezea na handkerchif za kutosha?
3.Unaweza kulia...
Daktari wa vichaa aliingia wodi ya vichaa kuangalia wagonjwa wake wanaendeleaje.
Akawakuta wagonjwa wote wametulia huku wakimsikiliza mgonjwa mwenzao ambaye alikuwa anaonekana kama anawahubiria...
MZEE VITUKO....USHAURI
Mzee mmoja baada ya kupata tetesi kuwa kijana wa kijijini kwake anachukua mke wa mwenzake, alimfuta na kumwambia.
Mzee:....kama unafanya, basi si vizuri unavyofanya hasa...
Kulikua na mpare na mchaga waliokua wanasafiri kwenda tabora kibiashara walipofika singinda wakaamua kuchukua gest walale kwa7bu ilikua usiku sana hakukua na magari yakwendelea na safari.kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.