Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.
Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani...
Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) hata kwa malipo
Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically...
Katika pekua pekua zangu, inaelekea kuwa Benki ya Dunia imesahau kuiweka Tanzania kwenye orodha ya low income countries. Yaani kwenye low income countries duniani hatuonekani na huko kwenye middle...
ndugu wapenzi wa jf nimefarijika sana baada ya kuona huzuni zote na makelee yote ya watanzania hayajawasaidia kumshawishi raisi kuwaweka ndani wale walioiba pesa za epa na matokeo yake walioiba...
Oil hits near 4-year low on weak economic news
Thursday, December 4, 2008 | 7:38 AM ET
The Associated Press
Oil prices sank Thursday to lows last seen nearly four years ago as more bleak...
Wakuu,
Naomba kuuliza kwa yeyote anaejua ni wapi naweza pata vifaa vya michezo vya watoto wadogo.
Kama bembea nk
Nina kadaycare kangu kadogo,, namshukuru Mungu, sasa nilitaka April niweke...
Kutokana na watu wengi kuniandikia kuniuliza kama ni salama kuwekeza pesa JATU company PLC. Nimeamua kufanya utafiti na maswali kwenye utafiti wangu yalikuwa kama ifuatavyo;-
1. Nani anaongoza...
INFLATION RISES TO 12.3% IN NOVEMBER-Daily News(18/12/2008)
Wajameni hela ya Tanzania yaanza kurudi kwenye madafu.Exhange rate ya sik za karibuni zinaonyesha kuwa dola moja sasa inauzwa kwa...
Naomba kutoa ushauri kwa banki na mitandao ya simu hasa hasa mitandao, mfano mtu anapotaka kununua kifurushi kwenye laini ya simu mfano: mpesa na akawa hana salio la kutosha ila wakati huo...
Elon Musk has a lot to thank Twitter Inc. investors for, as he has already made more than $1 billion after disclosing that he bought a boatload of the social media company’s stock
In a 13-D...
Habari,
Samahanini kwa kurejesha huu uzi jukwaani kwa mara nyingine!
Kwa wenye uzoefu na kazi hii au wateja wao naombeni mchango wenu wa kimawazo:
• vifaa vinavyohitajika ili kufanya shughuli...
Kuna wakala rafiki yangu nimempa pesa ya kunitengenezea laini za uwakala lakn katika lain 3 moja ndio ipo tyr nyingine nazungushwa wiki na nusu saiv kila siku kesho madai yao system inazingua na...
Habari wanabodi? Ni matumaini yangu makubwa kuwa hamjambo humu ndani na manaendelea na ujenzi wa Taifa letu na harakati za kusaka mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda, ni kwamba kumekuwa na...
Habari za kwako binafsi usomae Bandiko hili, Natumaini uko poa sana. Eeeh bhana mimi ni mtumishi na mjariamali pia. Katika harakati za ujasiriamali nilifungua duka la Dawa Muhimu (DLDM). Kama...
Habari wana Jamii Forums,
Ni kauli ambayo nilipatiwa na mfanya biashara mmoja anaefanya shughuli za kubandika kucha, kupaka rangi, massage na ususi ingawaje hakutoa maelezo ya kina zaidi...
Naomba kwa wazoefu wa hii Mambo, namna ya kupata mashine za uwakala NMB, nimefuatilia sana bank lakini napigwa danadana mnooo mpaka sasa ni miezi 9 imepita bila mafanikio, mwenye uzoefu na hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.