Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Kampuni ya simu TECNO ilitangaza kutolewa kwa teknolojia mpya ya upanuzi ya Random Access Memory (RAM) kwa watumiaji wake ili kuongeza uwezo wa RAM wa simu zao kwa ufanisi bora. Teknolojia hii...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba kupata wazo la kufanya biashara zaidi ya moja wakati nikiwa kwenye kaduka kangu. Nilianza udalali wa magari na viwanja ila nilkkosa network, pia ninayo Gari ndogo raumu ila nakuja...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tushukuru Kwa kudra za Mwenyezi Mungu tupo salama na tunaendelea kuelimishana, kufurahishana na kujuzana mengi katika ukurasa huu wa JamiiForums. Karibu saana, leo tutakuwa na interview kwa...
43 Reactions
1K Replies
229K Views
Biashara. Habari vipi, sina uzoefu wowote wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi lakini kuna bidhaa nahitaji kuagiza kutoka china na mzigo unifikie moja kwa moja je jifanyaje?? Msaada please.
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Natumai Mu Wazima Wa Afya Naomba niende moja kwa moja kwenye mada Katika pita pita zangu Za Huku na kule Kuna sehemu nimepita nimeona wanapata taabu Sana kupata mahitaji ya Jumla {Wauza Maduka}...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
naomba wanauchumi watuelekeze kama kutakuwa na makosa 1. Fedha zote zinatoka bank kuu(BOT) kabla ya kusambazwa kwa raia na bank zote zilizochini ya benki kuu 2. Bank kuu...
21 Reactions
31 Replies
4K Views
Naombeni ndugu wajuzi humu ndani mnipe ABC ya biashara ya nguo za ndani kwa wanawake yaani chupi....nina wazo la kufata mzigo Kampala Uganda ila sasa bado sina uzoefu wake so naombeni mnichangie...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu? Leo nimekuja kujadili kwa undani biashara ya malori Ni wazi kwamba siku hizi sasa sie wakazi tunaotumia barabara ya morogoro road tutakuwa tumeshuhudia malori mengi yakitumia...
5 Reactions
118 Replies
62K Views
Yes, marafiki, tusaidiane mawazo, tahadhari na ushauri. Wenye ujuzi wa hii b'ness in general, mzunguko wake wa kipesa, maeneo mazuri ya kupachika hii idea, uboreshaji wa biashara kuongeza faida...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za mchana""" Natumaini wote nyote ni wazima.... Naomba muongozo wa kufanya biashara ya nguo,🎽Viatu n.k vya mitumba kwa kuniambia ni store zipi naweza kwenda kuchuwa mzigo na cost ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Majibu yenu hapa yatanipa mwanga wa kuweza kuamua nifungue duka lipi kwa ajili ya nguo za wanawake tu au nifungue duka kwa ajili nguo za wanaume au nifanye vyote kwa pamoja kwenye...
1 Reactions
31 Replies
15K Views
Na Joseph Ngilisho Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela amefungua maonesho ya kimataifa ya kilimo yanayojulikana Kama ‘TANZFOOD Expo’ katika viwanja vya magereza, na kuwataka wadau wa kilimo na...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta dawa ndogo sana za meno kwa Dar kwa muuzaji wa Jumla. Ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu, Leo nimejikuta nawaza sana fursa walizonazo watanzania waishio nje ya nchi na namna ya kutatua changamoto za ajira kwa vijana Kwanza naomba niwaalike watanzania wanoishi nje ya...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
TOTAL COST Variable cost + Fixed cost= Total cost Total cost ni gharama za uzalishaji wa kitu chochote Total cost imeundwa na gharama ambazo hazibadiliki hata ukizalisha kidogo na gharama...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
BOOK-KEEPING VS ACCOUNTING Kiufupi Book keeper ni mtunza mahesabu na Accountant ni Muhasibu. Book keeping na Accounting hufananishwa sana kutokana na vitu vifuatavyo: 1. Zote zinahusika na...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
INFLATION Hiki ni kipindi ambacho thamani ya pesa inashuka kutokana na bei ya bidhaa ambazo ni muhimu (necessity goods) kupanda. Vyanzo vya mfumuko wa bei. 1. Ongezeko la ajira Kuongezeka kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati huu waungwana; Mnamo mwaka 2005 nilipata kusikia habari za kwamba watu wanaweza kufanya kazi kwa njia ya mtandaona kutengeneza pesa.Kwa sababu ya uelewa finyu wa teknolojia na...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Back
Top Bottom