Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
POVA Neo ni toleo la bei nafuu zaidi la Tecno POVA 2. Sifa kuu za simu hii ni kioo kubwa na betri. Akizungumzia muonekano ina kioo cha inchi 6.82 chenye pikseli 720 x 1640, na sehemu ya mbele ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu naomba msaada. Nawazo la biashara nina mtaji wa 50,000.
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari zenu, Dada yenu nimekwama tafadhali naomba mnisaidie, Nimekodi meza ya biashara soko la Tandika, nimeanza kwa kuuza nusu balo la skin jeans na nusu balo la blouse. Wiki sasa inakata mzigo...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Vp Wana Daslama, Hapo mtanishauli business ipi na mimi nihesabu ma profit kwa sasa na baadae.. Nitashukuru ushauri wenu..
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu naomba kujua tofauti Kati kuwa na kampun na enterprises je kuwa na company unatakiwa uwe na vigezo gn na ukitka kuwa na enterprises unahitaj kuwa na vigezo gn?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau mambo vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono nitashukuru. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda...
7 Reactions
71 Replies
8K Views
Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda.... Kama mnavyojua minadani...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
ECONOMIES OF SCALE Hiki ni kitendo cha kupungua kwa gharama ya uzalishaji (Average cost) kadri ya uzalishaji wa bidhaa unavyoongezeka. Njia ambazo zitamsaidia mfanyabiashara kupata economies of...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu Karibuni Dodoma. . Daaah Hela Yetu Ya Tz Haina thamani. . Jana nimetumiwa na rafiki yangu yuko India Elfu20 ya India Nikaenda Jana Crdb kubadilisha nikapewa 555,000/= ya Kitanzania Daaaaah...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Nina haya maswali wakuu:- Je ilikuwa ni sahihi kuwa na noti moja yenye thamani ya hii fedha? Na je, noti hii ilimaanisha uwezo wa kufanya ununuzi kwa hiyo thamani? Badala ya kutengeneza noti hiyo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau, Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
10 Reactions
71 Replies
11K Views
DEPRESSION / TROUGH Hii ni stage katika maisha, biashara ambayo mambo huwa magumu sana na ugumu huja kuathiri uchumi wa dunia nzima. Hiki ni kile kipindi ambacho mtu hukata tamaa na kupoteza...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
PERFECT COMPETITION (Ushindani kamili) Hili soko lina sifa zifuatazo: 1.Wauzaji wote wanauza bidhaa sawa au zinazofanana. 2. Wanunuaji wote wanajua bei ya bidhaa na wapi zinapopatikana. 3...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo ya binadamu kwa njia aidha ya kuchora, kuchonga, uandishi, upambaji, mitindo, ufinyanzi, uimbaji, Uigizaji na vitu vingine vifafananavyo na hivyo, ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu habari! Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani. Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina mtaji wa tani zaidi ya 15 za maharage kutoka mkoani Songwe (maharage ya njano) na ninahitaji kupata soko la uhakika hapa jijini Dar es salaam, kama unadetails za biashara hii ninaomba tushare...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchi zinazo zalisha mafuta zaidi duniani 2022, (thousands barrels per day); 1. United States (12,108) 2. Russia (10,835) 3. Saudi Arabia (9,580) 4. Iraq (4,620) 5. Canada (4,129) 6. China (3,823)...
2 Reactions
22 Replies
8K Views
Naomba msaada kwa anayeelewa matumizi ya mashine za EFD kwani TRA wanasisitiza Sana wafanyabiasha kuwa nazo.Mfano mimi mtaji wangu ni laki4 nimeambiwa ninunue mashine nimeulizia mashine yenyewe...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Kwa yeyote anayehitaji pumba za mahindi nicheki. location: SONGEA BEI: 1500 kwa debe. mawasiliano PM KARIBU
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Hii ni kwa wadau wa pombe za bei chee, nyie wa K Vant, Konyagi, Black and White, Tequila, Sambuca, Johnny Walker ya Pascal Mayalla mtuache kidogo, Watanzania halisi tuna jambo letu. Double Kick...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Back
Top Bottom