Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Mama kasema mafuta yatapanda bei na nauli pia itapanda bei. Naomba kufahamu kwani Tanzania inanunua mafuta kutoka Urusi au Uarabuni?
0 Reactions
2 Replies
378 Views
Wakuu, Husika na kicha kwa habari hapo juu. Nimepata shida kidogo nafanya biashara ya mitumba nimekuja Ilala kuchukua mzigo (nguo za watoto) imepungua kama laki moja ili nichukue mzigo mkubwa...
3 Reactions
28 Replies
36K Views
Wadau naomba mwenye kujua location ya viatu vya travota kwa hapa Dar es salaam
1 Reactions
3 Replies
644 Views
Habari wadau, kazi iendelee Kwa wale wenye uzoefu wa biashara ya simenti tupeni dondoo Kwa maana ya faida, changamoto na namna ya upatikanaji. Hii ni moja ya biashara nayopenda kuifanya japo...
4 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu, Naomba tushirikishane mawazo na uzoefu. Lipi ni kufuli imara zaidi uliwahi kuTumia, kuskia au kuliona? Pia, itakua vema zaid kama tukijadili njia bora zaidi za kuboresha uimara wa...
1 Reactions
52 Replies
13K Views
Waahidi, wapakistani na WaBangladesh wanatuzidi nini kwenye biashara? Ni nini ambacho sisi weusi tunakosea. Wengi wao wakifungua tu biashara unaiona hiyo inanyanyuka mdogomdogo. Na sio kama...
15 Reactions
83 Replies
7K Views
Wanasema, woga wako, umaskini wako, Nimefanya biashara ya kuuza viatu kwa mda sasa, kusema ukweli biashara ya viatu vya mtumba kwa eneo langu na wateja wangu, nikilinganisha na biashara nyingine...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
Natafuta mtu wa kufanya nae biashara nguo za mtumba. Nipo zanzibar biashara ni mzuri tu nipo na fremu sehemu mzuri tu kama yupo alie tayari aniinbox. Hasa hasa nguo za kike kama baibui na madira...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, Katika harakati za kupambana na maisha, nimepata wazo la kufanya biashara ya nguo za watoto za mtumba. Nilikua naomba kwa wenye uzoefu wa hii biashara wanisaidie kuhusu...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Hello! Natafuta fundi snayejua kushona nguo za kike, mishono ya kisasa nimpe tenda na kama nitapenda kazi zake nifanye naye kazi. kama unafahamu naomba namba zake nitamtafuta asanteni, location...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
JINSI YA KULINDA TAARIFA ZAKO UNUNUAPO BIDHAA MTANDAONI Chati hii inaonyesha kwa asilimia nchi zinazoongoza kwa ukuaji wa mauzo ya rejareja ya biashara mtandaoni, huku Ufilipino ikishika nafasi...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Habari za wakati huu? Leo nimekuja kwenu nikiwa mjasirimali mdogo wa kuuza maandazi baada ya kuanguka. Nakumbuka niliomba mtaji kutoka kwenu na kuna baadhi walioonyesha moyo wa kunisaidia...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu Mimi ni Kijana Mtanzania ninajishughurisha na kilimo cha mazao ya biashara siku za karibuni nimejikuta nanunua MBEGU Toka kampuni za ndani kigeni kama Toka India , Ufaransa , nk zina ubora...
1 Reactions
11 Replies
641 Views
Hello wakuu, Nimepata idea ya business, Nafikiria kuagiza na kuuza mashuka ya quality, ukubwa na design tofauti na kuyauza kariakoo. Niambieni, nishaurini, nikosoeni, Je niko sawa? Mzunguko...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu nina 25million nje ya kodi ya pango, je itatosha kwa ajili ya hii biashara? Je ni idea nzuri ya kunipatia kipato kikubwa kwa sasa na baadae? Maeneo ya aina gani napaswa kuweka aina hii ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za Wakati huu Watanzania Wenzangu, naomba niende kwenye mada husika. Nina mtaji wa 200,000 nataka nianze biashara ya Magazeti Ya Kufungia bidhaa, naomba kujuzwa bei zake za jumla Dar Es...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatua ya 15; Kitabu - The School of Money by Olumide Emmanuel Ukurasa wa 14; ( ACTIVATING MULTIPLE STREAMS OF INCOME ) 219~ 228 Amsha Mifereji mingi ya Vipato Maziwa na Bahari haikaushi maji...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Nishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nchi zinazo zalisha gesi asilia, zaidi duniani, 2022; 1. Russia (47,805 billion cubic meters) 2. Iran (33,721 bcm) 3. Qatar (24,072 bcm) 4. United States (15,484 bcm) 5. Saudi Arabia (9,200 bcm)...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa...
4 Reactions
4 Replies
846 Views
Back
Top Bottom