Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Nauza bata bukini. Wapo wakubwa wanaotaga tayari. Ni kitoweo kizuri mno. Napatikana kigamboni Dsm, bei nzuri tu jamani 150000 mazungumzo yapo msiogope. Karibuni ndugu zangu tusapotiane
1 Reactions
7 Replies
785 Views
Kama tittle inavyojielezea naomba kujua kwa wazoefu wa biashara za uji ambazo mara nyingi huwa zinafanyika asubuhi na jioni aweze kunipa nondo zaidi.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana JF Naomba kama kuna mtu alishawahi kufanya hii biashara anijuze kidogo hapa Tanzania onakuaje hadi kufanya shipping
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi, Nimepata mtaji kiasi cha sh 1,200,000/= lengo langu nifanye biashara ya kupata sh 20,000-30,000/= kwa siku. Je inawezekana kupata biashara ya kuingiza kiasi hicho? Kuna...
3 Reactions
27 Replies
8K Views
Habarini wana jf.. Ninahitaji kujua jinsi bitcoin inavyofanya kaz kwa maana ya kuuza na kununua ,charges zake kwa kila transactions unazofanya kwa yeyote mwenye idea nayo, maana naona inayo kama...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Naiomba Serikali iunde mipango ya kimaendeleo kwa kutoa kipaumbele miaka mitatu mitatu kwa kila Kanda, yaani nachomaanisha Serikali iache kutumia pesa kubwa kwenye miradi isiyo na tija sana kama...
1 Reactions
6 Replies
465 Views
Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha. Nimepata wazo la kutaka kuhamia...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa wanafunzi mashuleni kuwe na mtaala wa kufundisha somo hili. Zamani kuna mada katika somo la Sayansi Kimu au maarifa ya nyumbani lilizungumzia misingi ya uchumi na faida za kuweka akiba. Kwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wakuu, Samahani kwa mtu mwenye exprience na biashara ya stationary naomba msaada wa kiutaalam. Nahitaji kuanzisha biashara ya stationary lakini sehemu nilipo kuna ushindani wa hiyo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Uvumbuzi: Usiisahau bidhaa. Sisitizia uundaji wa bidhaa bora iliyo mpya na bunifu na inayoweza kushindana sokoni. Mara kwa mara, biashara zinahimizwa kufikiria juu ya kutangaza bidhaa na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau wa ukurasa huu. Nikiwa kati ya watu wenye shauku ya kuona vijana tunajikomboa kiuchumi, nimeona leo nije nishee kitu nilichojifunza. Binafsi nilikuwa na biashara home Mwanza ya...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
JAMANI mtaani mambo ni magumu sana; Ili kujiongezea Vipato na kujinasua na mzigo wa umaskini INABIDI tuangalie vyanzo mbalimbali vya kuweza kujiingizia kipato Leo ningeomba yoyote mwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina mpango wa kufungua akaunti ya akiba ili niwe nahifadhi pesa. Kisha baada ya mwaka ni draw zikiwa na interest nizifanyie wazo ambalo nitakuwa nimepanga. Kwa wazoefu ipi ni nzuri zaidi, na...
3 Reactions
13 Replies
12K Views
Hello everyone, Hope this post finds you well! To cut it short, nahitaji mnisaidie kunitaji Cash app ambayo mtu aliyeko Tanzania anaweza pokea pesa kutoka Marekani. Nimejaribu kufuatilia PayPal...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
MARKET EQUILIBRIUM Market ni soko na Equilibrium ni usawa. SUPPLY PRODUCT = DEMAND PRODUCT Kwahiyo usawa wa soko unapatikana pale bidhaa zilizozalishwa kwaajli ya mauzo ni sawa na bidhaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Niko kwenye hatua ya mwisho za kuanza mradi wa biashara ya Mboga Mboga, hii ni baada ya kufanya utafiti na majaribio kwa muda wa miezi 6 na kuwa na uhakika wa uwepo wa soko la Mboga Mboga(...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Grundig Fire TV ndio TV 📺 ya kwanza kutengenezwa kwa mfumo wa OLED. Je kwa Dar es Salaam naweza kupata bidhaa hii ya Kijerumani au mpaka niagize nje?
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Salamu wapendwa. Ninatafuta partner ambaye yupo tayari kuwekeza pamoja nami kuanzisha learning center eneo la Pugu Kajiungeni Dar es salaam. Jengo ninalo na liko centre nzuri Pia nina waalimu...
3 Reactions
16 Replies
957 Views
Wakuu habari za majukumu? Kwa wale mawakala wenzangu wa huduma za miamala, Nine experience punguzo kubwa la kamisheni kuanzia mwezi uliopita. Kwakuwa ukiangalia salio katika siku zote kabla ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu za jumamosi. Tuzidi kuomba Amani Ulaya Mashariki Nataka kujikita katika shughuli za ufyatuaji matofali ya Block kibiashara. Kabla naomba kupata uzoefu kdg. Aina na gharama ya mashine nzuri...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom