Nimesikitishwa sana na hizi tozo za kila kukicha sijui hizi bank zinatafuta utajiri wa namna gani kutoka kwa wananchi wanao unga unga kila siku.
Nilikuwa tu natoa hela kwenye ATM ya bank nyingine...
Naomba ushauri.
Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje?
Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on...
Hii huenda ikawa habari poa kwa wakulima na wale wenye mipango ya kufanya uwekezaji katika kilimo.
Habari ni kuwa zao la Vanilla lililolimwa na kuvunwa vyema kwa sasa huuzwa Kati ya dola za...
Habari zenu JF expert members.
Nahitaji kujua kutangaza na Jamii Forums gharama zake (kama ni Admin/mod inbox Kwa maelezo zaidi) na wewe mwingine share ujuzi wako kuhusu kutangaza na Jamii...
Habari, natumai ni wazima nyote. Mimepamiss hapa Jamii Forums kwasababu nina muda mrefu sija post chochote na inatokana na maisha na ubize ila sio shida leo nimekuja na kanuni ya "The one thing"...
natafuta partner wa biashara ya samaki anayeweza kufanya biashara na Mimi ya Samaki kutoka ruvu upande was Simanjiro Manyara
Sifa
awe na uzoefu wa biashara ya Samaki ayajue masoko
awe na...
Nipo wilayani nafanya biashara 2.moja Ni ya kununua na kuuza mifugo, hakika sijawahi lipa Kodi, 2. Biashara ya chuma chakavu hii ina usumbufu mwingi, vibali polisi , rushwa , kutishwa tishwa...
Habari zenu wadau.
Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
The majority of individuals choose to live in poverty. They fail to achieve their objectives because they were too sluggish to wake up and work; others fail to earn as much as they expected simply...
Hello wadau na wataalamu wa biashara ya pharmacy,
Nimefanya mchanganuo na kupunguza kiasi chote kinachohitajika katika harakati za kufungua pharmacy na kubaki na 30m.
Je hii 30million...
Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama...
Habari wadau!,
Ningependa kupata ushauri kidogo,Kuna mzigo nataka niagize kutoka Alibaba. Ningependa kujua utaratibu ukoje. Hapa Bongo Mzigo unapofika kwenye upande wa Kodi?,n.k,je Kama mzigo...
Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi
mbalimbali nchini Tanzania
Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Madini, Prof.
Shukrani Manya alipokuwa akifungua jukwaa...
AIBU YAKO UMASKINI WAKO
Aibu na Umaskini, Vijana wengi tumekumbwa na changamoto ya aibu na kutupa wakati mgumu tutaanzaje kukabiliana na maisha hasa kwa wale walio jaliwa kupata elimu na kuhitimu...
Hellow wana JF,
Nimeanzisha uzi huu ni kwamba mwanzo nilikuwa Naagiza bidhaa china kwa kutumia Aliexpress tangu 2018 lakini ilipofika mwaka huu mwanzoni oda zangu zilikuwa zinachelewa sana kufika...
Habarini wanajamvi
Mimi ni kijana ninaevutiwa sana na ujasiriamali, na ningependa kuanza safari yangu hii ya ujasiriamali na mradi wa chips maana ni biashara ninayoona inalipa zaidi kwa mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.