Chimbo gani naweza kupata mafuta ya kula kwa bei ya jumla, ni haya mafuta ya kawaida, sio ya Alizeti..
Ila nahitaji kwa bei ya jumla.
location: Dar
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums...
Wakuu nauliza jambo moja leo, mnafahamu pesa ya Marekani ni pesa maarufu sana sio kwa Tanzania pekee bali hata nchi zingine zinatumia Dollar kama njia ya kufanya exchange ya pesa.
Sasa nauliza...
tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao...
Rafiki yangu mpendwa,
Maisha ni mfululizo wenye machaguo ya kupata na kukosa (trade off).
Hata uchague kiasi gani na uwe na mamlaka makubwa kiasi gani, huwezi kupata kila unachokitaka, kwa...
Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu.
Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo.
Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu...
Wakuu,
Mwenye uzoefu wa biashara ya nguo na vitu mbalimbali kutoka huku Tanzania kwenda kuuza Malawi naomba aliyewahi kufanya biashara nchini Malawi anipe uzoefu
Wana JF,
Naomba kujua mtu anawezaje kuwa na Computer iliyounganishwa internet na kupata pesa kwa kuwa "Affiliate market" hasa wa sekta za utalii na Hoteli au biashara nyingine?
Naweza kuwa...
Habarini?
Sina maelezo sana maana nina moyo wenye uchungu sana na machozi yakinilengalenga,naenda straight to the point...
Kutokana na mgao wa umeme unaoendelea nchini nimelazimika kufunga...
Business as Usual!
Msaada wa haraka unahitajika kupata connection kwa hapa bongo Dar wanapouza bidhaa za jumla za simu kama
*Screen Protectors
*Cover za simu
*Power Banks
*USB Cables / Charges...
Wadau habarini za mchana
Mimi ni Mtumishi wa Serikali, nafanya kazi Lindi lakini likizo hii nataka nifanye biashara ya kutoa kuku mikoani kwenda kuuza Dar (soko la kuku Manzese) kwa ajili ya...
"Use force to reach the end " hii ndio slogan iliyonitoa kuwa tegemezi mpaka kujitegemea, ukichanganya na "sacrifice the betterment of few days for the long time joyfulness". Ukichanganya hizo...
Wadau. Mini na Shemeji yenu tumeamua tuanzishe Biashara ya CHAKULA kwa maana Mgahawa Pamoja na Catering. Tutakuwa tunafanya delivery.
Shida yetu hapa ni jina la Biashara lenye kuvutia wateja...
Wakuu habari!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifikiria na kutamani kuingia kariakoo na kufanya biashara ya viatu, shida sijui wapi pakuanzia. Wenye uzoefu naombeni ushauri.
Ahsante
UOZO na ufisadi ulioigubika Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) uliwekwa hadharani bungeni mjini Dodoma jana. Hayo yalielezwa katika hotuba ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani wa Wizara ya Mawasiliano...
Bira shaka mtakuwa hamjambo na kazi inaendelea vyema. Nimeamua kutumia ukurasa huu wa Jf kwakuwa ninaimani watu wengi walioko huku niwale wenye uwezo furani kifikra na kifedha.
Bila shaka unaweza...
Wanajamvi nawasalimu,
Mimi ni mfanyabishara/mjarisiamali ninahitaji hii deduction code, inayotolewa na utumishi/hazina ili niweze kuwakopesha watumishi walio ajiriwa na serikali au sekta binafsi...
Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments)
Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi .
Alikubaliana nao kuhusu bei.
Mteja wangu anataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.