Habari ya asubuhi wakuu.
Naomba kujuzwa eneo ninayoweza kupata iliki na bei kwa kilo. Iliki hiyo, iwe ni ya kijani, yaani imekaushwa pasipo kupoteza rangi yake.
Natanguliza shukrani.
Wanasema mafanikio ya mwanadamu yapo kwenye taarifa au connection Sasa wana Jf Mwenye utayari wa kuzungusha pesa yake ndani ya muda mfupi aweze kurudisha pesa yake na kuamua kuendelea au lah...
Jamani yaani hawa Zuberi ni tatizo kama utapotrlewa na mzigo.
Basi mwezi wa kumi si nikatumiwa mzigo toka Dar
Yaani mzigo ulifuatiliwa mwezi mzima na haukupatikana
Boss wao yule zuberi mwenyewe...
Ni matumaini yangu mpo salama wote. Baada ya kusota mtaani kwa miaka miwili tokea kumaliza degree yangu nimefanikiwa kujikusanya na kupata kapesa kidogo.
Baada ya kuwaza sana nimeona ninunue...
Tanzania iko tayari kuzuia bidhaa za Kenya, Uganda nk, hivyo hivyo Kenya yuko tayari kuzuia bidhaa za Tanzania lakini nchi hizo haziko tayari kuzuia bidhaa za China.
Yaani bora Mchina kuliko...
Jana nilikwenda kwa wakala wa NBC aliyepo Kilosa mjini (ni mmoja tu) na niligomewa kutoa kiwango nilichohitajika huku wakala akilalamika kuwa NBC hawana ushirikiano na anatarajia kujivua uwakala...
Habarini wadau.
Nataka kufungua Toto/Baby shop maana nimeona hapa mtaani kwangu hakuna biashara ya namna hii.
Duka litakuwa na vitu vya mahitaji ya msingi ya kila siku ya mtoto kuanzia siku moja...
Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye...
Habari Zenu Waungwana.
Naomba jinsi ya kufahamishwa nawezaje kuweka pesa kwenye bank account ya Tz nikiwa overseas kwa lengo la kuendeleza biashara ya forex asanteni
Habari wakuu:
Im real Team 666:
Nimeona bidhaa nyingi kwenye mtandao wa Alibaba ziko cheep kulinganisha na huku kwetu Tanzania mfano wa biashara ya vifaa vya simu, nguo, viatu,nk...
Albaba...
Kwa wafanyabiashara wote, je unaweza fanya bihashara bila kukopesha? Bihashara yoyote ile iwe kubwa au ndogo.
Je, ni zipi faida za kukopesha na zipi hasara za kukopesha kwenye bihashara?
Welcome
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu.
Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits...
Yaan nimefanya tathmini
Anakusambazia maji ya jumla anakuachia faida 200 katoon.
Sasa najiulza hawa wene maduka ya maji huwa wanapata nini?
Kama hailipi wanatumia mbinu gani kupata faida.
Naelewa Kariakoo ni sehemu yenye ushindani katika umiliki wa fremu na pia gharama kubwa ya kulipia rent.
Nataka nijikite katika biashara ya underwear (chupi, boxer, sox..etc). Ningependa kujua ni...
Ndg wanaboard, naombeni ushauri wenu maana ninawazo la biashara.
Nipo Geita, mtaji nilio nao ni 25M, nimepata machine ya kukoboa 25t/h, ya Kisasa.
Ambayo wanauza 8700usd. Inakuwa na:
1...
Kuwa mbunifu ni kuvunja sheria kanuni na taratibu bila kuwa na hatia yani ni kufanya tofauti na mazoea
Kama utafanana na wengine nani atahofia kukupoteza
Lazima uwe tofauti na wengine ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.