Habari wana Jforums
Leo nimependa kushare thread moja miongoni mwa thread zenye sumu sana kwa vijana waliotoka vyuoni na ambao wapo mtaani juu ya kujiajili katika biashara tofauti tofauti...
Wakuu mimi ni kijana tu under 35 yrs old kwa ajira yangu niliyobahatika nayo napata 1mil as take home, natamani sana kuwa na kigari changu cha familia maana nikipiga hesabu za elf 10 kila siku...
Jamani naombeni kujua kama kuna anayeelewa juu ya watu wanaofanya mawasiliano ya moja kwa moja viwandani China na Uturuki. Biashara hii imekuwa ikifanywa sana na watu siku hizi ambapo wananunua...
Habari Wadau,
Kwa ufupi tu, sisi ni subcontractor kwenye moja ya miradi ya serikali,tumeshafanya hii kazi zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Our Monthly Sales :Tzs 24Mn to 28Mn
Expenses : Tzs 4Mnn to...
Wapendwa niko na ml3 nimepewa na mzazi wangu ili nifungue biashara mahali Dar es Salaam lakini biashara hiyo iwe na uwezo wa kuleta faida laki4 kwa mwezi na iwe nje ya frame wenye mawazo tafadhal...
Huu ni ushauri wa bure.. usikubali kuishi na pesa cash, iwe ipo mkononi ama ipo kwenye account.
Jiulize mwenyewe, ni kwanini ukishakuwa na pesa yanaibuka matatizo ambayo utatuzi wake ni hiyo...
Wana Jukwaa hebu tusaidiane hapa, nawezaje tengeneza pesa kwa hii kazi nikiamua kuifanya Official kabisa achana na zile za Madalali. Nawaza kufanya hii kitu ila sasa jinsi ya kupata pesa ndo bado...
Kwa mara ya kwanza naingia hapa katika benki ya Equity,nashangazwa na mwenendo wa huduma ninazozikuta hapa katika ofisi yao mkoani Morogoro.Kama hapa manispaa huduma zimedorora namna hii,je vipi...
Biashara yangu ya kwanza nimeuza socks na bado nauza kama unahitaji kufanya biashara hii au kuagiza bidhaa nyingine zenye mtaji mdogo nicheki
WhatsApp 0653959285
Tembelea account yang ya instagram...
Habarini wakuu zangu.
Naulizia kwa Dar es salaam, wapi naweza kupata chimbo zuri la vitenge vya java.
Na ni bei gani kwa jumla ni nafuu kuvinunua?
Ahsante nasubiria mrejesho.
Habari zenu nyote,
Bila kupoteza muda niende kwenye mada, miezi michache iliyopita nilisikia serikali ikisema ya kuwa nchi ya Misri inataka kuwa inanunua MAHINDI ya njano takriban tani milioni...
Wapendwa habari zenu nina mtaji wangu kidogo nataka fanya biashara ya kuchukua parachichi na ndizi Moshi nije niuze kati ya hayo masoko hapa sina uzoefu wa hayo masoko ningependa nipate kasehemu...
Kwa hali ya nishati nchini kwa sasa ni wazi kwamba matumizi mabaya ya rasilimali zetu haswa katika shughuli za kiuchumi zinazidi kuleta umasikini na matumizi mabaya ya rasilimali muda.
Matumizi...
Mkuu mambo vipi?
Nilikuwa na maduka ya rejareja mawili. Moja nikaliuwa kutokana na kuugua na changamoto za Mmiliki wa fremu, by laws za ulinzi , kuharibu kwa mfanyakazi, nikawa nimetaka kubadili...
Poleni na Majukumu ya ujenzi wa Taifa wakuu. Nianze kutoa masikitiko yangu kwa hawa jamaa wanaojiita brela.
Hawa jamaa wanajiona Miungu watu.
Hawana Customer care, wanadharau kama si kuwapuuza...
Mimi ni kijana nina miaka 25, Nina ari kubwa sana ya kutafuta mafanikio kwa sasa nina duka lenye thamani ya sh.10M. na lipo vizuri sana kimauzo , kimpangilio , na pia lina upekee wake wa Huduma...
Virtapay
VirtaPay is developing a private virtual currency and payment processing service to make real-world buying and selling online easier, more secure and available to everyone.
We're...
Naomba msaada, utaratibu gani hutumika katika ununuzi wa Bondi za BoT na kiasi cha chini cha kununua Bondi ni Tsh. ngap na je ununuzi wa Bondi za BoT unaweza kupata faida kila mwezi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.