Nina kiwanja nataka kuchukulia mkopo kwenye benki, lakini kiwanja hiki hakijapimwa. kilichopo ni zile documents tulizoandikishiana kwa balozi.
sasa nilikuwa nauliza kama naweza pata mkopo kwa...
Hope mko poa.
Je ushindani kwenye bihashara ni mzuri au mbaya.
Zipi faida za kuwa na mshindani kwenye bihashara yako
Na zipi hasara zake za competition kwenye bihashara.
Mfano una duka anakuja...
General store ni duka ambalo linauza bidhaa za aina tofauti na nyingi kwa ajili ya matumizi ya binadamu ya kila siku.
Tunaweza kuliita hili duka "kiosk kilichochangaamka", wengine watakuwa...
Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk.
Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii.
Asanteni sana
Habari za huku wakuu wa JF Kama kichwa Cha Uzi kinavojieleza hapo me naanza na kuuliza ni nchi gani kwa afrika ambazo Zina unafuu haswa wa Kodi na mazingira yake kibiashara yako vizuri
Habari wanazengo,
Kutokana na gharama kubwa za undeshaji wa pharmacy inatakiwa niuze kwa wingi ili ni cover costs zake na maisha yangu pia.
Je, investment ya pharmacy ya reja reja eneo lenye...
Zanzibarbest ni kampuni inayojishughulisha na utengenezaji na usambazaji wa spices(viungo vya chakula) mbalimbali.
Baadhi ya viungo hivyo ni -:Tea masala,Pilau masala,Biryan masala,Mchuzi...
Nawasalimu katika jina lipitalo majina yote, nimejichanga na kupata frem ya biashara.
Mwanzo nilipanga kufanya biashara ya nguo za kiume, nimegundua biashara hii ina mzunguko mdogo sana.
Naomba...
Habari wakuu!
Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?
Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga...
Habari zenu wana JamiiForums, mimi kama kijana mtafutaji na mwenye kiu ya mafanikio, nimeamua kuja kwenu Ili nipate ABC juu ya mada tajwa hapo juu. Nimejaribu kupitia maada mbalimbali za zamani...
Wanajamvi nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kichwa Cha habari chahusika.
Ninahitaji kuanzisha mradi wa kutotolesha mayai na kuuza vifaranga. Aliyewahi kufanya hii biashara...
Kichwa cha habari kinajieleza
Mimi katika familia nina wenzangu ambao tunakutana kwa baba, wenzangu wako sita ila mimi niko mwenyewe, ila wenzangu walianza kunitenga tokea niko shule kwani mimi...
Kwa miaka mingi sasa watanzania wengi wamekuwa wakitumia zaidi dawa za meno za Whitedent kuliko dawa zingine zozote, naamini hii ilitokana na Whitedent kuja na bidhaa nzuri na zenye bei nafuu...
"If you cannot imagine it then it cannot be."
"If you cannot ritualize it then you cannot imagine it"
Key words.Imagination and Ritualization
Meanings:
Imagination-the act or power of forming a...
Nilichojifunza Bongo yetu, kutumia akili utoboe ni kazi ngumu sana, ila ukitumia ujanja ujanja unatobo asubuhi na mapema sana.
Mambo mengi nchi hio yanaenda kiujanja ujanja tu na si vinginevyo...
Hallo ndugu zangu
Leo nimekuja na jambo muhimu saana
Ili ni wazo langu ambalo nimelitafakari
Nikaona so case acha niliweke apa
Hivi kwenye huu mtandao wa JF hatuwezi kutowana kimaisha?
Maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.