Ayanda Charlie muandishi wa habari za kiuchunguzi ameandaa makala kuonesha utapeli wa makampuni ya biashara za mtandao yaliyotapakaa katika nchi za Afrika.
Anasema makampuni husika hupata hela...
Habari wana jf naplan kuanza biashara ya kuuza nguo za wadada za mitumba kwa kupoint npo Dar. Nimejarib kupitia thread mbalimbal humu nyingi znasema mitumba inapatikana ilala ukiwah alfajir...
Habari zenu wakuu.
Muda mrefu nmekua natamani kua na biashara ya kuuza mapambo ya nyumbani. Kuanzia mapazia,maua,decorations zingine kama mito ,wallpapers etc.
Sasa leo nmepita pita kwenye...
Ufanye vifuatavyo ambavyo ni baadhi ya njia, au mbinu na vitu vya kuzingatia unapotaka ufanye biashara.
1. Kwanza unahitajika kufanya tafiti katika upande wa masoko kwa bidhaa yako husika.
2...
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume naishi Dar najihusisha na ujasiriamali wa usafi na dawa kwa uchafu sugu katika Tiles,Masink,Vioo na Sofa.
Mwezi wa 10 mwaka jana nili hama kimakazi...
Hello..
Wale wapenzi wa kunukia vizuri karibuni kujipatia perfume nzuri na classic kutoka uturuki kwa bei sawa na bure.
Tunazo za jumla na rejareja ila hapa nitawawekea bei za rejareja...
NAOMBENI USHAURI
Nimekuwa katika mawazo na wakati mgumu sana, najaribu biashara ambayo iko salama nakoswa majibu na najikuta nakuwa mpole tu.
1. Nilipanga nifungue Duka la vipodozi kwa sababu...
• Mshindi mwingine na Jackpot bonus ya SportPesaamepatikana.
• Ni TZS 21,191,497 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwa 2000/= tu.
Mkazi wa Ngara, Bukoba Expectance S. Gwomeka...
Wakuu naomba kujua biashara ya vitafunwa kama inalipa.
Nina mtaji wa sh 300,000/= je, naweza kufanya biashara hii kwa mtaji huo, namaanisha vitafunwa kama maandazi, sambusa, chapati, eggchop...
Habari ndugu wadau nimeona ni shiriki katika mjadala huu nikiwa moja ya vijana tulio wengi mtaani ambao kimsingi tunapambana na changamoto ya ajira na ukosefu wa ajira za kutosha.
Mimi kama...
Habari wakuu!
Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii.
Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na...
The Tanzanian shilling has gained ground against the United States dollar in the past two weeks, thanks to a steady flow of the greenback from Tanzanian tourism, exports and funds from development...
As tunaangaika kutafuta njia mbalimbali za kuinvest na kusaka kipato, nimekuwa interested na swala zima la stocks trading. Nimejaribu kufatilia sana lakini bado sijapata jibu la kuniridhisha...
Ndugu Wana JF, ni muhimu kushirikishana fursa na kushirikiana.
Nina kitalu/Ploti yenye madini aina ya Ruby nyekundu/damu ya mzee inayong'aa.
Eneo liko full madini haya ya Ruby ingawa hata...
Habari?
Jina Langu ni Mr Equator. Ni kijana ambaye najaribu kuyatafuta maisha. kwa njia mbali mbali.
Nimekuwa nikitafuta wazo la biashara ya pembeni (Side-hustle) ya mtaji kati ya Laki 1-2...
Habari ya leo JF Members,
Naomba msaada juu ya Vifaa Muhimu na Garama zake kwenye Ununuzi kwa ajili ya kufungua kituo cha kuoshea Magari.
Eneo nitatafuta, natumaini ntapata msaada wenu wadau wa...
Bei ya mafuta imeendelea kupanda katika masoko ya barani Asia baada ya mkutano wa nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC kuvunjika bila makubaliano juu ya mpango ulionuiwa kuongeza...
CASH IS NOT THE KING
Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.