Ni ngumu kuelewa ninachomaanisha.Hebu ngoja nikupe mfano ndogo tu.
Suppose kulimo cha mpunga kingekuwa kinalipa bila loss maana yake aliyeinvest eka 1 mwaka hii mwakani ataweza kulima let say eka...
kwanza kabla ya yote nitangulize salamu kwa member wote...! leo nimeleta changa moto yangu nikiwa na imani ya kupata uvumbuzi kipindi kirefu nilikuwa nikitamani kuanzishaa ya duka la mahitaji ya...
Kitendo cha mtu kuanza kuagiza bidhaa. Kwa kupitia tovuti mbali mbali zinazofanya biashara online. Ni kitendo ambacho kinatakiwa kiwe cha urahisi na uhakika. Bidhaa zinazouzwa kwa kupitia mitandao...
Nimeliongelea hili swala mara nyingi na sitaacha hadi nitakapoona hatua zimechukuliwa.
Chupa za plastic kwa sasa sio tatizo kwani kuna waokota chupa ili ziweze kuwa recycled. Lakini kuna baadhi...
Hii ni moja ya sababu iliyonifanya niipende Serikali ya Awamu ya Sita! Hawana kelele sana wala propaganda ni vitendo tu na matokeo yanaonekana.
Baada ya Serikali iliyopita kudharau Sera ya Mambo...
Jamani napenda kujua Interets Rate za Fixed Account kwa Bank zifuatazo kwa mwaka kwa kiwango cha Million 100.
Bank ABC
Equity Bank
Finca microfinance
DCB bank
Nashukuru kwa kushare taarifa
Habari, nipo kwenye process ya kufungua Company ila kwa sasa nina Business Name, na nataka kuhusika na masuala ya usafi sehemu mbali mbali, naitaji watu wa tatu wa kushirikiana nao. Kwa...
Nilinunua subwoofer miaka 4 iliyopita lakini leo wakati naisafirisha Kwenda shambani nilikamatwa na askari ambao baada ya kuikagua pikipiki hawakupata kosa wakahamia kwenye boksi ambalo niliweka...
Nimewaza ili swala pasipo kupata majibu kwa wilaya yakaratu inaongoza kua na wanawake wengi kuliko wanaume lakini asilimia kubwa hawana muda na wanaume wazawa hivyo asilimia kubwa ya wanaume...
Mimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa.
Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye...
Wakuu.
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Moja kwa moja kwenye mada wakuu, katika bajeti ya Mhe. Mwigulu Nchemba alipendekeza kuwepo na tozo katika kila miamala ya kifedha itakayokuwa...
Nimepewa wazo la biashara ya Samaki wabichi. Unachukua samaki wabichi aina kadhaa kutoka kwa wavuvi Bagamoyo kwa vipimo vya ndoo unaepeleka moja kwa moja kwenye maduka ya samaki Kariakoo. Jamaa...
Habari naomba kuuliza changamoto za uuzaji wa cement kwa rejareja na faida zake na hasara zake. Pia naomba kwa mwenye uzoefu chumba kimoja cha futi kumi kwa kumi kinachukua mifuko mingapi ya...
Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka...
Habari wadau.
Kwa mwenye idea na mikopo ya ujenzi wa nyumba za Biashara.. Naomba ushauri.
Nina eneo ambalo tayari kuna nyumba 2 ambazo kwa sasa zipo kwenye hatua za mwisho niingize wapangaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.