Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Jamani Mikopo imeyumbisha biashara yangu Nikiwaza naumia hasa kuzingatia mda na mapambano niliyofanya kupata mtaji.. Kwa kua unaanza biashara Unaona ili kupata wateja na kupunguza ushindani na...
16 Reactions
19 Replies
3K Views
BIASHARA KATIKA UCHUMI Katika nchi yetu ya Tanzania kwa mwaka pekee idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu inazidi 1,000, Apo ni chuo kimoja kwahiyo tukiangalia idadi ya vyuo vyetu nchini tukijumlisha na...
1 Reactions
0 Replies
561 Views
Wajumbe za muda huu aicee. Kuna motherboard circuit (PCB) module fulani hv nataka kuinunua kutoka ebay ila sasa hawatumi tanzania nimetafuta courier na transporting agency nimekosa naomba...
2 Reactions
3 Replies
429 Views
Jamani mimi ni mkazi mpya wa jiji la Dodoma, nilipata wazo la kufungua biashara ya kuuza maji ya bomba, (yaani nitengeneze system ya kuyakusanya kisha niwauzie watu watakaokuwa wanakuja kuchota...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MAZINGIRA BORA YA BIASHARA KUCHAGIZA UKUAJI WA UCHUMI. Unapozungumzia uchumi imara wa nchi huwezi acha kuzungumzia biashara kama kiungo muhimu katika sekta hio kwani shughuli nyingi zinategemea...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Kwa wazoefu, tunaomba mchangie nasi uzoefu wenu kwenye njia hii ya kudunduiza pesa kwa kununua fedha za kigeni mathalan US Dollar, na kuja kubadilisha pindi unapifikisha lengo... Karibu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari yako ndugu Nchi yetu imefikia katika kiwango kizuri cha uchumi ambapo ni uchumi wa kati ambao umetokana na jitihada zinazofanyika ndani ya nchi yetu zikisimamiwa na viongozi imara na...
1 Reactions
0 Replies
455 Views
Kwa wale wakubwa nawaamkia shikamoo, na kwa wale wadogo zangu nawasalimia habari? Mimi ni mwanaume nisiyesikia yaani Mimi ni kiziwi ninaitwa Amirosa. Kwa yule yeyote mwenye uwezo wa kifedha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini ndugu. Nimekuwa nikiagiza vitu mara kadhaa kutoka China hasa kwa kutumia Alibaba, 1688 na Taobao. Ila kwa sasa nahitaji kupata connection pia ya namna ya kupata suppliers wa kutoka...
3 Reactions
62 Replies
11K Views
Nyumba inauzwa kariakoo ina angaliana na soko Bei bilion 2 maongezi yapo Kwa maelezo zaid 0766112170 Karibuni sana
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kwema wapendwa Kuna mtu anahitaji kuanzisha project ya kufyatua tofari na kuuza . Naomba kujua kwa niaba yake na wengine walio na wazo Hilo wajifunze. Je biashara hii inachangamoto zipi, pia...
1 Reactions
1 Replies
833 Views
Kwa tafsi rahisi naweza kusema Vicoba ni vikundi vya watu/wajasiriamali kwa madhumuni ya kuweka akiba na kukopeshana na pia kugawana faida/gawio. Hata hivyo,hili la kugawana faidi kwangu mimi...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Naleta kwenu wana JamiiForums Kwa wale wenye uzoefu wa kuagiza bidhaa mbalimbali kutoka Dubai kuja Tanzania tupeane experience japo kidogo EXPERIENCE HUSANI KATIKA; • Masoko: ni masoko yapi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
M Mzgo Uko dar imepaki rangi ya pich tu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam. Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali. Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari yako ewe mdau wangu wa nguvu. Mara kadhaa tumekuwa tukiona watu wanachukua mikopo kwenye benki tofauti tofauti au taasisi za kifedha huku wimbi kubwa la wanaochukua mikopo hiyo ikiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
1 Reactions
0 Replies
650 Views
Habari Wana JF Nahitaji kununua mahindi Kwa wakulima mikoani na kuwa nasafirisha kuyaleta dar au mikoa yenye uhitaji zaidi. Naomba kujua niwe na vibali gani na vinatolewa na Taasisi gani...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta...
8 Reactions
97 Replies
8K Views
Back
Top Bottom