Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Hiki ndo kumekuwa kisingizio kikuu sana kwa kila kijana. Ukimuuliza kwanini uko sehemu fulani au kwanini haufanyi chochote ili kuhakikisha ndoto zako zinatimia, utajibiwa ," sina mtaji, sina pesa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wa jamvi. Kijana wenu nawaletea good laptops brand new, second hand from United Kingdom at cheapest price. Pia mteja anaweza kutaja price ambayo anayo then akapewa best laptop according to...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa anayefahamu hii biashara nikiwa na laki tatu naweza kuifanya?
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Kuwa na Bidhaa au Huduma nzuri sana Bila kuitangaza Au kuweka bajeti kwaajili ya kuitangaza Ni sawa na kuwa na gari nzuri sana Pengine BMW, PRADO au Benz Isiyo na mafuta ...Hakuna...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Eti wandugu, ukiuza vitu mtandaoni bila kuwa na ofisi unaweza pata leseni ya biashara?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Assalam wakuu Nimependa niwaletee elimu toka kwa mtaalamu kama ifuatavyo Utangulizi Bismillah Rahman Rahim. Watu wengi bado wanajiuliza juu ya mfumo huu wa fedha wa kiislamu hususani uendeshaji...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Matangazo ni swala muhimu kwa kila biashara. Tatizo linatokea pale ambapo biashara inashindwa kumudu gharama za matangazo, hasa matangazo ya gharama kubwa. Naamini wewe kama mjasiriamali...
4 Reactions
0 Replies
3K Views
HILI LA WAMACHINGA RAIS AMENENA Ni bahati njema kwamba idadi kubwa ya watu wetu katika taifa ni vijana, ambao ni nguvukazi muhimu katika juhudi za kujiletea maendeleo. Kuwa na vijana wengi ni...
1 Reactions
2 Replies
653 Views
Habari za leo Wana jamvi, natumai ninyi wazima. Kumekua na ongezeko la Facebook page zinazo toa maudhuhi ya Habari hasa habari za michezo,siasa, matukio na burudani. Mimi binafsi mpaka Sasa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Huwa tunashangaa kwa nini watu wanaacha Shule? Kwa nini mtoo unakuta amapata Zero yaani sifuri Darasani? Kwa nini huwa tunasikia watu walidrop shule? KUNA AINA TATU ZA MAKUNDI. 1. THINKER-wako...
12 Reactions
14 Replies
5K Views
Niko na uzoefu sasa baada ya miaka kadhaa ya uagizaji wa bidhaa mbali mbali ndogo na kubwa yakiwemo magari, bidhaa zinazokuja kwa kontena, mashine kama incubator, photocopier, lab microscope nk...
6 Reactions
22 Replies
7K Views
Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
1 Reactions
4 Replies
36K Views
Wasalaam, -Kama ilivyo ada, leo nimeona ni vyema kuchangia hapa jamvini mawazo ambayo yatatupa moyo wa kusonga mbele, za pale tunapokutana na changamoto za kibiashara tukiwa Kama wajasiriamali...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama nilivyo eleza juu apo naomba kujuza kuhusu biashara ya kuuza kuni kwa Dar vibali changamoto na soko lake kiujumla.
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimejikusanyia ka pesa ka boom kwa miaka miwili sasa, nimepata 1, 400, 000. Nafikiri kununua boda halafu nimwachie mtu aendeshe ili jioni aniletee hesabu! Hivi bodaboda itanilipa kweli? Na je...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Wana JF Huenda kila anaye soma uzi huu anaweza akajifunza kitu au anayo au hana akaunti benki ila ataangalia kama ameshakutana na makato haya akiangalia bank statement yake kwa makini sana...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo. Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri...
4 Reactions
8 Replies
5K Views
Ubunifu ni tabia muhimu sana katika utatuzi wa changamoto zinazoikabili jamii, lakini pia katika kuzalisha fursa mbalimbali za biashara. Kama nilivyoeleza huko nyuma, fursa ya biashara ni tunda...
1 Reactions
0 Replies
956 Views
jamani nauliza hawa jamaa wanaaminika?kama uliwahi kopa kwao naomba taarifa pls!
0 Reactions
34 Replies
16K Views
Back
Top Bottom