Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Laki tano, Mshahara wa Ma-Teller wa Benki hapa mjini Laki Tano, Bei ya TECNO PHANTOM mpya kabisa kwa kujishau Snapchat na Istagram Laki Tano, Bajeti ya Mafuta ya SUBARU mwezi Mzima.... Laki Tano...
10 Reactions
311 Replies
53K Views
Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF. Leo nimekaaa nimewaza sana namna ya...
106 Reactions
99 Replies
13K Views
Nimenunua Jeans zaidi ya Nne Vunjabei zote zimechanika zote ni Low Quality vitu vingi anavyouza ni Mitumba ya Kichina haidumu kabisa. Now Kashakuwa na Jina Kubwa Auze Nguo zenye Quality sio...
11 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari wana jukwaa Nina partiner wangu yupo Japan anaishi south Africa ni car dealer....ameniambia nisajili custom bond ware house na kampuni commission agent company.amedai nikifanya hivyo...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mfumo ambao dunia imejiwekea wa kumtafsiri mtu na mtu au hata taifa na taifa kupitia vipato vyao (pesa) umekuwa ukiweka maswali mengi sana kichwani kwangu, moja kati ya swali ambalo mpaka leo bado...
2 Reactions
0 Replies
874 Views
Habari wana j.f naomba watalam wa maswala ya fedha mni saidie.nimezunguka nchi nyingi utaratibu wa fedha upo hivi kuna sent 1,2,5 na10 na 50 baada ya hapo kuna 1 mfn 1usd,1kwacha,1rand au 1tsh...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau, Nataka kufungua car wash nzuri na ya kisasa lakini hii biashara nataka iwe tofauti na watu wengine wanavyofanya ili tuweze kuliteka soko. Nahitaji mtu tushirikiane tuwe kitu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu,Mimi Ni kijana natafuta pikipiki ya hesabu ambapo nitakuwa naitumia kufanyia biashara ya boda boda na kumlipa mwenye Mali kutokana na makubaliano ya kiasi tutakachokubaliana...naomba...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Assume unadate na kadada, asubuhi kanakupigia simu kanasema namuomba Mungu akusimamie katika hustle zako siku nzima ya leo 😁😁. Kwan Pete ya dhahabu shingapi wadau.? 😂😂
7 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari wajuzi wa mambo. Nimevutiwa Sana na Biashara ya cement. Naomba Anayeweza nambia njia nzuri ya kufanya Kazi hii in and out. Mtaji wangu ni 3million Ahsante
2 Reactions
4 Replies
8K Views
Naomba kwa yoyote anae uza vitu vya saluni ya kiume ajitokeze anitajie bei zake lakin asiwe nje ya daresalaam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari,ninataka nifanyiwe mahesabu ya kampuni yangu naomba nijue gharama zake. Nawasilisha
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wa Biashara na Ujasiriamali, Tumeona humu kuna wazoefu wa biashara hizi za mazao ya kilimo, bila shaka ni sahihi kuleta jambo hili kwenu ili tubadilishane uzoefu. Pichani ni mzigo wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii taasisi ya kukopesha watumishi wa Uma Faidika au Letshego inakiuka kanuni na taratibu za utoaji mikopo mathalani kupandisha riba bila taarifa mpaka kupitiliza na hii wameanza mwezi wa 9...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Salaam Wakuu, Baada ya kusota na demo account kwa miezi mitatu na nusu hivi sasa soon nitaanza kutrade live, naomba kupata taarifa sahihi za huyu broker kama yupo regulated na board yoyote...
5 Reactions
66 Replies
24K Views
Nahitaji kuwa na mtu mmoja wa kufanya nae biashara kubwa ya stationary kibwa sana mjini Bukoba,,awe seriously kwa hilo mimi nipo Dar es salaam ila ni mzaliwa wa Maruku,yeye awe ni mtu ambae makazi...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Habari za muda huu wana Jamii Forums. Takribani wiki nzima sasa nimekuwa nikijiuliza hili swali "Tofauti kati ya biashara na uwekezaji ni ipi" linaweza likawa swali la kijinga au la kitoto kwa...
7 Reactions
30 Replies
6K Views
Ruzuku ni kiasi cha fedha kinachotolewa na mashirika binafsi ya hisani (charitable giving foundation), mashirika ya ya umma ya hisani (public charity) au wakala/Taasisi za serikali (government...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Biashara ya betting imekuwa kwa kasi sana miaka ya hivi karibuni. Napenda kuuliza kwa anayejua inaingiza shs ngapi kwa mwezi. Na kawaida mtaji wake ni bei gani?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT Ningependa kufahamu budget ya kufungua duka la reja reja la mahitaji ya kila siku, duka la wastani, na maandalizi yake yanahitaji nini na nini. Karibuni mlete mawazo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom