Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
NAIBU WAZIRI MHANDISI KUNDO AFUNGA KIKAO MAALUUMU CHA VIONGOZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amefunga kikao kazi...
0 Reactions
3 Replies
682 Views
Habari wakuu, nataka nianze kulipia matangazo kupitia Facebook sponsored page nataka nianze na dola moja au dola mbili kwani ndo uwezo wangu. . . Msaada, je nianzie wapi? je ni kweli kwa dola moja...
1 Reactions
21 Replies
10K Views
Na Smartdunia Ni dhahiri tangu tulivyofahamu maana ya neno muda, basi tumeshalitaja neno hili mara nyingi kiasi kisichohesabika. Lakini pia ni jambo la kushangaza mno kwani wengi Bado hawajajua...
0 Reactions
4 Replies
715 Views
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao utafanyika Jumamosi Tarehe 07 August 2021 yenye Kauli...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
🛣️ CHANGA MOTO ZA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO ✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile. Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Moja ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wateja wetu ni kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao halafu kukutana na kodi/ushuru mkubwa wa kutoa mzigo pale Bandarini, Uwanja wa Ndege au mipakani. Bei...
7 Reactions
16 Replies
4K Views
Hello wakuu Kama kuna mtu anajua dealers wazuri wa vifaa vya offisini na Shuleni, (stationeries) ambao wanauza jumla, naomba aniunganishe nae /anipe mawasiliano yake. Asante
0 Reactions
7 Replies
1K Views
🎤 Nyenzo kuu inayotumika kuwasilisha mambo ni uongeaji kama wewe ni mfasaha wa kuongea vizuri watu watapenda kukusikiliza muda wote. Hivyo basi katika ulimwengu wa sasa kuna haja kubwa ya mtu...
1 Reactions
3 Replies
797 Views
Swali la sikuzote. Ikiwa ninamiliki Mali asilia ya nchi je nikiuza kwa mtu nje ya nchi yangu nitakua sina uzalendo na nchi yangu au ni mfanya biashara kama wengine.
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Hali iliofikia sasa watu wanajali biashara kuliko afya. Embu chukua mfano wa biashara za ufugaji kuku wa mayai.. je mayai tunayokula ni salama? Japo faida yake kubwa. Najiulizaga sana: hivi watu...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Mafuta ya Petroli na Diesel kwa kila lita 1 Nchini Zambia & Rwanda ni 1800-1900 za kitanzania wakati kwa Tanzania ni 2450-2800 TZS kwa kila lita. Ili hali Rwanda & Zambia mafuta yao wanayapitishia...
6 Reactions
14 Replies
5K Views
Uzinduzi wa Huduma za Kibenki za CRDB WAKALA Ndani ya Ofisi za Posta Tanzania nzima. "Niseme mmeanza Vizuri sana, mimi kama waziri niwapongeze sana kwa Hatua hii, nimefarijika kwa Ushirikiano huu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
✍🏿✍🏿 KITU PEKEE CHA KUIBADILI DUNIA NI KALAMU. 🖌️ Wengi wanasema kuwa Mimi siwezi: 1. Kusoma makala ndefu. 2. Kusikiliza mazungumzo. 3. Matamasha na kadhalika. 👆🏽 Watu hawa kamwe hawezi...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za kutwa wana JF. Matumaini yangu wote mu wazima na mnaendelea vizuri kwa ujumla. Kwa muda mrefu nilikuwa nafatilia juu ya uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na mifuko (DSE)...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Wakuu habari? Juzi tu hapa nimetoka kumpokea mgeni kwenye Airstrip apa Morogoro cha ajabu huduma ya Uber amnaa wala Bolt au chochote. Nimesikitika sana. Hivi tatizo litakuwa nini mpaka mikoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada wa jinsi soko la viatu vya kimasai mkoa wa Singida kwa mfanyabiasha anayeanza
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Unanunua nondo unaambia ina ukubwa wa inch 16 lakini ukipima hata kwa macho unaona kabisa umepigwa, flat bar ya 3 mm² ni nyembamba kama wembe, ukija kwenye aina zote za chuma ukipima hazifikii...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Professor Assad nimekusikia tangu mwanzo mpaka mwisho nashukuru kwamba nilijitahidi kuzuia hisia zangu. Nimeshangaa kama wewe professor unadiscretic SGR project kwa kuwahadaa watanzania kwamba SGR...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
1. ufugaji wa kuku. Ufugaji wa kuku wa kienyeji ama kuku wa kisasa. Faida zake zinatokana na uuzaji wa mayai, nyama ya kuku, kuku wenyewe, vifaranga, mbolea n.k _ Ndege wengine wenye faida kama...
8 Reactions
54 Replies
14K Views
Hii ni kwa wale wadau wa hisa za Vodacom ambao kwa muda kidogo walikumbwa na sintofahamu kuhusu hatma ya hisa zao. Ni kwamba leo Vodacom wameanza kuuza hisa zao soko la hisa la Dar es Salaam...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom