Kinacho kufanya wewe kuwa Tajiri sio kiwango cha pesa ulicho nacho ila ni matumizi kwa kile unacho kipata.
🙏 Mfano : Kama unapokea laki 3 kwa mwezi na ukatumia laki 2 na 80 na ukatunza elfu 20...
Habarini wadau, Nina rafiki yangu ambae bahati ipo upande wake maana kiukweli linapokuja kwenye swala la uchumi wapo vizuri sana.
Familia yao kiufupi wapo vizuri, kaka na dada zake wanajitegemea...
Ninaongelea hizi biashara ndogo ambazo hazihitaji uwekezaji mkubwa au kuajiri wataalamu wa kukusaidia mambo ya marketing, accounts ana vitu vingine.
1. Angalia unachoweza kufanya kutoka moyoni...
Habari zas sasa,
Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated...
Habari zenu wote, naitwa Rey.
Dhumuni la post hii ni kutoa nafasi kwa watu au kundi au kampuni kuweza kuweka pesa yao katika mzunguko wa biashara na in return, kupata pesa yao na some %in cash...
Shallom / Asalam Aleykum
Husika na Kichwa Cha Mada Hapo Juu
Katika Pirika Pirika na Mbilinge Mbilinge Zangu Za Hapa na Pale, Mkoa Kwa Mkoa, Mtaa Kwa Mtaa kuzisaka nimekutana, kuona na ku...
Habari za Leo Wanafamilia!
Pole na Majukum, Mm naitwa Hussein, naishi Tandika Magorofan, nna miaka 34, nna mke na watoto watatu.
Nnajishughulisha na Ufugaji, utengenezaji dawa za Asili za Kuku...
Wakuu habarini!
Mi nasemaga kitu kimoja kama wewe ni boss mwenye kampuni ya toyota nitajishika na wewe boss ukipanda na mi napanda, ukitoa new fashion nami napita nayo nyuma yako, wabongo...
Habari za leo,
Kumekua na thread nyingi zinazohusiana na biashara ya bajaj na pikipiki.
Nyingi zikijikita katika mambo ya uendeshaji wa vyombo hivyo na uuzaji wake wa spare parts.
Lakini...
Wale waliokuwa wanauliza interest inayolipwa na benki kwa fixed deposit account. Niliongea na mmoja aliniambia wastani wa malipo ni kama hivyo ilivyo.
Hii inawafaa wasioweza kuzungusha pesa...
Naomba leo tuzungumze namna tofauti Za kupata mtaji kwakuwa kuna changamoto Sana kwa Wau wengi wanaotaka kufanya biashara kupata fedha Za kuanzia. Napenda tuangalie namna na mbinu unazoweza...
Uchimbaji wa dhahabu kuanzia kwa mchimbaji mdogo mpaka mkubwa. Watu wanaingia woga sana kwenye hii biashara ambayo inataka umakini na adabu sana kwenye fedha.
Tuanze na uchimbaji wenyewe Kwanza...
Habari Wakuu Wa JF,
Nimekua Mdau wa JamiiForums, Kwa Muda Kidogo But leo, Nimeona nije niombe Kama Kuna mdau ambae anahitaji kuinvest katika upande wa Technologies ( ICT / IT ).
Mimi Ni Kijana...
Ndugu zangu kama kichwa kinavyo jieleza kama kuna MTU anafahamu nikwa namna gani MTU naweza kuwa tajiri samahani naomba tusaidiane mawazo
Ili wengine wenye uhitaji huo kama Mimi tuifikie utajiri...
Habari zenu wakuu,
Naamini mko na afya njema. Nilikua naomba wadau wanaoyafamu mawe yenye mali mcheki haya mawe mnipe ideas zenu mi naona kuna clear gold lakini view inatofautiana
Good evening,
I am a Tanzanian business man living and based in Arusha, I am doing tourism mainly in accommodation in Ngorongoro and Serengeti.
I am now looking for an investor/partner to join...
Habari wadau,
Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)?
Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je...
Hii leo, Julai 15 2021 gharama ya miamala ya fedha kupitia mitandao ya simu nchini Tanzania imepanda baada ya serikali kupandisha tozo ya miamala hiyo.
Sintofahamu kubwa inashuhudiwa hii leo kwa...
Karibu wana JF tupeane mawazo ya kuwekeza katika online marketing mfano kuwengeneza website kama
jumia
kupatana
facebook
twitter
youtube
whatsapp
halloapp
Tuwe na sisi na vya kwetu sio kutegemea...
Biashara (kuuza na kununua au kubadilishana bidhaa) imedumu duniani tangu enzi za kuumbwa kwa dunia. Kazi hii imekuwa ikifanywa na watu wa kila aina. Hapo awali biashara ilifanyika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.