Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarini jukwaa labiashara, niende moja kwa moja kwenye mada, mimi nimejiingiza kwenye biashara yaviatu vyakike vyakimasai nakuna mtu yupo dar huwa ananiagiziaga mzigo huku mkoani. Sasa changamoto...
4 Reactions
44 Replies
10K Views
Salaam wana JF kama mnavyojua kuwa sasa hivi serikali iko macho sana, naomba kujuzwa hatua zote za kufuata ili niweze kupata kibali cha kufanya biashara ya mazao ya msituni yaani MBAO na MKAA...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Nataka niwe wakala wa Gesi za majumbani nifanyaje? Kampuni ninazohitaji ni Orxy na Taifa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Joseph ngilisho Arusha, Watalii zaidi ya 150 kutoka nchini Israel wanatarajia kutua nchini Tanzania kesho jumatatu kwa ajili ya shughuli za Utalii ili kujionea vivutio mbalimbali vilivyopo hapa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii nchi mazingira ya biashara bado ni magumu sana. TRA bado ni kikwazo sana kwenye mazingira bora ya kufanya biashara Tanzania, jamaa wana ukadiriaji wa kukomoa vile na bila kuwekeza kwenye...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Natumai mko poa kabisa.. Napenda kufahamu namna ya ku-calculate cbm ili niweze kujua gharama ya usafirishaji
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Hello wakuu. Naomba kujua ushuru wa yeboyebo na viatu ukiagiza toka China. Import duty ya bidhaa aina hizo. Nitashukuru sana.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu. Habari zenu. Katika pita pita zangu za kusaka pesa, nimekutana na milioni 4. Sasa nashindwa nifanye kipi kati ya hayo mawili. Mi naishi Madale kwenye kibanda changu vyumba wiwili na...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakoo hamjambo humu nataka kujua Bei ya fuso nikiasi gani Japan mpaka naipata mkononi napia kwa mtu fuso yenye Hali nzuri nishingap
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu kwema, habari za weekend kwa ujumla. Poleni na majukumu pia. Nataka Kuagiza mzigo kutoka China kupitia Kampuni ya FedEx Tanzania mwenye uelewa wa namna ya kuweza kunijuza kdogo process yake...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Vijana kazi yetu ni moja tu hapa mjini,kuinuana na kupeana mbinu za kusurvive ili kuepuka zile aibu za kurudisha mpira kwa kipa na yale maneno ya "Laiti ninge",katika maneno sipendi kusikia mtu...
46 Reactions
58 Replies
10K Views
Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta. Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi. Serikali isipo angalia jambo...
3 Reactions
169 Replies
13K Views
August 2012 Dar-es-Salaam, Tanzania Mzee Joseph Mfugale began his career as a carpenter in 1967. Although his formal schooling ended after the sixth grade, he went on to run two dry-goods stores...
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Wakuu habar poleni majukum wakuu nauliza je fuso longbase iliyonahali nzuri mkononi kwa mtu naweza pata kwa shilingi ngap
0 Reactions
6 Replies
36K Views
Napenda kufahamu kama FedEx wana tawi lao Moshi? Na nawezaje agiza mzigo kutumia FedEx na nikapata mzigo wangu? Naomba msaada kwa wazoefu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za uzima wanaJF, nimekuwa mdau wa kufuatilia taarira mbali mbali za baadhi ya wafanya biashara wa Tz wakiwa wanalalamika juu ya Benki za Tz kwamba wanafatilia sana pesa zako benki , kuna...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
BIASHARA Biashara in shughuli yoyote ile inayofanywa kwa lengo la kupata faida SIFA ZA MFANYABIASHA 1.kufutilia mwenendo mwenendo was bei 2.kuwa na uhakika na huduma kwa wateja ,kutoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Kutokana na risiti hii ya EFD Swali langu ni kutaka kujua bidhaa za simu hazina VAT? Bei ya simu ni 48,000 na imeandikwa na TOTAL EXCLUSIVE OF VAT = TOTAL INCLUSIVE OF VAT Ina maana hapo...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom