Mke wangu ni mhitimu wa diploma ya maabara.
Nataka kumfungulia duka la Kuuza Chemical reagents za hospital na viwandani.
Naomba ushauri wenu taratibu za awali kabla sijafungua
Wakuu habarini za leo!?
Lengo kuu la Uzi huu ni kutaka mawazo mbadala ama ushauli kutoka kwenu. Mimi mkazi wa Geita mjini mwenye miaka 24, sjaoa na Wala Sina mtoto. Naweza kusema kwasasa mm ni...
Habari wakuu.
NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa...
Habari wakuu,
Nimepata soko la supermarkets, kwa kuanzia bidhaa ziwe na TBS kama kigezo cha kwanza. Bidhaa ziwe Sabuni,Lotion, shampoo,mafuta ya nywele na steaming. Zizalishwe Tanzania.
Piga...
Nimeandika andiko hili nikiwa natafakar ni upi uelekeo wa maisha yetu;
Najua andiko hili linaweza kuwafanya Jubilee insurance kuuza BIMA ya maisha kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko hapo awali na...
Nimeona tangazo linaloeleza wanahisa kupata gawio. Sikulipata vema tangazo hilo na sikuweza kuandika mawasiliano yao. Naomba nisaidiwe kupata mawasiliano yao ili nidai gawio langu.
Wakuu natumai mko poa kabisa, kwa wale wadhaifu Mungu atawaponya. Kama kichwa kinavyo jieleza naomba kujuzwa kama member amesha wahi fanya manunuzi yeyote kwa njia hii. Utaratibu wake ukoje, maana...
Wakuu habarini za leo, nahitaji kufaham kiji-senta kilicho changamka au mji mdogo ambao unawajasilia Mali wadogo wadogo wanao uza chakula, chips, wamama wanye magenge ya vyakula.
Ki miji hicho...
Habari zenu wadau
Mimi ni mfanyabiashara wa jeans za mtumba za kiume, sina muda sana kwenye hii biashara ni kama miezi kadhaa.
Sehemu zangu ni katika minada na magulio katika kuzunguka kwangu...
Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia...
1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/=...
Leo nimeweka laki moja kwene acc maalumu kwa ajili ya kununua gari
Gari ninayoitaka ni Rav4 new model black
Bei zake nimechek cheki kwenye mitandao ni milion 23-24
Sijui itabichukua muda gani...
Naomba mwenye ujuzi wa taratibu za kufuata ili niuze hisa zangu naomba mwongozo!Mwaka 2013 nilinunua hisa za benki ya Mwalimu.Hadi leo hakuna kinachoendelea nimeishiwa kupewa tu risiti.Kila...
Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage.
Wao hawataki kuja huku, wanataka...
Watu wengi wanatamani kufanya biashara wengine wana mitaji kabisa sababu unakuta yeye ni mtumishi hela sio swala la kuuliza ila when it comes to starting a business anajikuta anasita sita au...
Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China.
Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.