Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wakuu, naomba kusaidiwa vitu vifuatavyo kuhusu hii biashara ya pikipiki. 1.Aina ya pikipiki uliyokuwa unatumia au aina ya pikipiki unayopendekeza kwenye hii biashara 2.Wastani wa pesa uliyokuwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza NMB mmeamua kufunga kimya kimya matawi kadhaa mliyofungua kwa mbwembwe huko nyuma. Hata mawakala mliowapa ujiko wa kufungua matawi kwa niaba yenu mmewaacha solemba baada...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu salamu, Nimepata tatizo na nahitaji mkopo wa haraka kiasi Tsh 2,000,000/-. Dhamana yangu ni Bajaj iko vizuri na hadi sasa inaendelea na kazi mwezi march 2021 ilitimiza mwaka mmoja tangu...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habari! Naomba wenye ujuzi wa biashara za samaki, kama wenye mabucha mniambie gharama zake zikoje. Nina plan ya kuanzisha biashara hii Mungu akijaalia ninahitaji info za kutosha ili nikiji...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari wana JF leo tutashirikishana faidha za website ili kukuza na kutangaza biashara yako. Watu wengi wamekuwa wakipata shida ni nanmna gani biqshara zao zinaweza kujulikana na kuwafikia watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mchana wakuu, Baada ya habari na hasa tambo serikali iliyopita kuhusu nchi kuingia uchumi wa kati,ikibidi nijiridhishe kwenye vyanzo mbali mbali. Ndio nikaja kugundua uchumi wa kati...
17 Reactions
125 Replies
10K Views
Jamani naomba kuuliza kinapopatikana kiwanda cha kutengeneza yebo yebo kwa Kisemvule. Nataka nianze kufanya biashara hiyo nikanunue nipeleke sehemu nikauze. Kwa mnaofahamu hata bei za jumla hapo...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Naomba kupata ABCs za biashara ya bucha. Kuanzia vifaa vinavyohitajika gharama zake, vibali na upatikanaji wake. Ikipendeza zaidi, basi na bei ya nyama machinjioni na makadirio ya faida kwa kilo...
5 Reactions
26 Replies
14K Views
Naombeni msaada wa platform ambayo unaweza kuwela hela zako na kujizalisha kwa kuwa tafuta watu yaani kila mtu atakaye join kupitia wewe uwe unapewa kiasi chako. Kwa Kenya zipo nyingi ila kwa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Dear Taxpayer, Please note that the TRA system has a feature that allows the taxpayer to request an extension of time to submit a tax return in case they anticipate delays in finalization of an...
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Biashara ya upatu ni biashara inayo kuwezesha kuinvest katika digital platform na kujipatia kipato zaidi kulingana na juhudi zako huku mtaji mkubwa ukiwa ni bando lako na charji kupitia smartphone...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hi Team am looking for a serious Business Partner who is ready partner in business that am thinking to start with immediate effect. The partner must be able and have patience in doing business...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalimu waungwana. Nimetenga kiasi cha pesa 10m niweze jiajiri kwa kuuza vitu vya ndani kama ma carpet, ma duvet, mito, mapazia like kama unavyoyaona maduka ya home shopping center. Nachoomba...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Za jioni wakuu. Nahitaji kufungua akaunti ya dollar Equity Bank ila sijui gharama zao, nilikuwa nahitaji muongozo kidogo kuhusu vitu vifuatavyo. Gharama za kufungua akaunti. Makato ya mwezi. Ni...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wana ndugu kwa sasa nawashauri kama una fedha na muda wekeza kwenye kilimo cha Kahawa Mbinga Moshi au Morogoro kilo 9000 mpaka sasa ninavozungumza. Cha pili mahindi gunia sasa ni 100,00...
1 Reactions
44 Replies
9K Views
Kuna Kituo cha Mafuta inajengwa karibu na Shule ya MOSHI fountain, iliyopo MOSHI BAR - MOMBASA -UKONGA Wilaya ya Ilala. Sheli ipo mbele nyuma kuna shule hii imekaaje kwa afya za hao watoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom