Leo kwa mara ya kwanza nimetumia Airtel Master card baada ya kuwa ninatumia M-Pesa Master Card kwa muda.
Nilichogundua Airtel wana makato makubwa yaani more than twice ya M-Pesa.
Nilikuwa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Dodoma, Juni 17, 2021
A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI...
Pamoja na kwamba mimi ni mgeni humu lakini naomba kupata mawazo juu ya uchapishaji kazi za sanaa online hususani vitabu, njia ambayo inaonekana sasa kuwa mkombozi kwa watunzi wengi tofauti na zile...
Habiri wana jamii
Je ni ipi njia nzuri ya kukufanya stoko dukani na njia rahisi maana kuna njia moja ninayo tumia ya kutumia daftari kilicho toka na kilicho ingia na kubaki imenishinda mimi kama...
Wakuu habarini za leo!?
Lengo kuu la Uzi huu ni kutaka mawazo mbadala ama ushauli kutoka kwenu.
Mm mkazi wa geita mjini mwenye miaka 24, sjaoa na Wala Sina mtoto.
Naweza kusema kwasasa mm ni...
Habari za leo mpenzi mwanaJUKWAA, naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako kila siku. Kumbuka mafanikio hayatokei mara moja tu, ila yanajengwa kwa tabia ndogondogo...
Habari za saa Hz wanajamvi.
Ni Imani yangu kuwa nyote hamjambo na mnaendelea vema. Naomba kujuzwa jinsi ya kupata control number ili niweze kulipia GPSA ili niweze kupata kujumuishwa kwenye...
Kuna Mjadala sana siku kadhaa kuhusu Wakenya na ishunzima ya wakenya kuwa wengi sana Tanzania kwa uwekezaji ilihali sisi tukiwa na kampuni kama 30.
Niliwahi enda Kigoma na nilikaa kaa sana kule...
Habar zenu wana JF. Hope wote wazima.
Naombeni ushauri wa biashara nitakayoifanya mazingira ya chuo yenye kupata faida ukiachana na biashara ya kula na kuvaa. Frame ninayo ambayo ni kubwa 2...
Dogo anataka kuhama kwao amechoka kula kulala. Mfukoni ana laki tano na ushee. Kaomba ushauri kwangu nimemuahidi jioni nitampa jibu ili nije huku kwa akili kubwa/Great thinkers kuulizia.
Yupo Dar.
Niwape siri kuhusu matajiri wakubwa!
Kwani matajiri wakubwa wanapo talakiana utajiri wao unakuwa mkubwa kuliko walivo kuwepo mwanzoni!
Mimi nitapenda kueleza kisa kimoja cha Jeff Bezos CEO wa...
Salam wakuu.
Nimewaza sana kwanini viwanda vya pombe Kali (Distilled spirits) kama konyagi, kvant, vodka, dompo, wana design chupa nzuri sana tena zenye mionekano bomba.
Lakini cha kushangaza...
Kutokana na utitiri wa vyuo hivi, je unaona kuna fursa ipi ya biashara.
Vyuo hivi hapa
CHUO - SEHEMU
MUST - Iyunga
MCHAS (Tawi la UDSM) - Mjini
TIA - Airport ya zamani
MZUMBE - Foresti
SAUT -...
Wadau naomba kuuliza kuhusu hii kanuni,
Je, ni kufanya kazi kwa bidii au connection ndivyo vinavyomsaidia mtu kupanda ngazi, kuna mmoja kaniambia hapa kama hard work pays basi punda wote watakuwa...
Habari,
Kwa wale wenye uelewa juu ya uanzilishi wa kampuni ya Cargo and Logistics, tafadhali naomba kufahamu documents zote zinazotakiwa pamoja na ada zake.
Mungu awabariki sana.
Habari ndugu zangu.
Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara.
Je, ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza...
Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni.
Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo?
Kwenye hii biashara ya usafi.
Hongereni kwa kufunga kwa upande wa ndugu zetu waislam na pia kwa ndugu zetu wakristo tunasema tupo pamoja na nyinyi ili mradi tusiweze kuaribu swaumu zenu kwa njia moja au nyingine..
sasa ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.