Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari za wakati huu wanafamilia wa JF, Naomba muongozo mwenye kufahamu juu ya vibali na taratibu za kufuata pindi mtu anapotaka kufanya biashara ya kusafirisha mkaa kutoka mkoa mmoja kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habarini za leo? Nikiwa kama muumini ninae amini maisha ni popote, Leo nimeleta Uzi huu nikiwa na lengo la kupata mwongozo kwa walio nitangulia kutoka nje ya Tanzania au walio na uzoefu wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ALI EXPRESS WANAKULETEA MZIGO WAKO HADI ULIPO KAMA DHL ? Wakuu naomba msaada wenu kulielewa hili, Ni mara yangu ya kwanza kununua na kutuma/kuletewa mzigo nilionunua na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu Habari za majukumu, naomba kujua kuhusu hii biashara ya kuprint Tshirt hasa ile local ambayo wanatumia ki unao flani hivi. Nachotaka kujua, namna unavyoweza kujifunza kukitumia hicho kifaa...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wakubwa nisiwachoshe na maelezo mengi naomba kujibiwa swali hilo hapo juu , naomba ukieleza na faida za mfuko husika itakuwa vizur zaid
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari Wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavojieleza wakubwa naomba kuuliza tumezoea watu wakiagiza magari na vitu tofauti kutoka nje ila Kwa upande wa bajaj umekuwa tofauti Sana. Chanel za...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu salaamu. Ningependa kujua ni gharama kiasi gani hutumika kukomboa mzigo bandarini. Kwa mfano. Mzigo wa nguo 200pcs Ulioununua kwa 500000 Je, ni shiling ngapi inatumika jumla hadi kuupata...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wakuu wenye karatasi zile za A4. Nahitaji ambazo zimetumika. Inaweza kuwa past paper, au group assignment paper. Nahitaji nyingi hata kama una kilo 100 ni Pm. Dear HR kama unabarua nyingi ofisini...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunaona basi jipya la timu ya Simba SC yenye bima aina ya Comprehensive iliyokatwa kwa thamani ya TZS. 4,643.87, Bima hiyo ilimekatwa kwa MO ASSURANCE COMPANY LTD. Mamlaka husika ebu fuatilieni...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Nina mtaji WA laki 7. Nahitaji mtu mwema anaejua kwa mtaji huo naweza kufanya nn japo nipate elfu tano kwa siku au Kama kuna biashara anafanya tuunganishe nguvu pamoja Wale wa Mambo ya forever...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi naomba msaada kwa wabobezi na wanaofanya biashara hii ya kuchukua nguo za mitumba kwa kupoint suruali na blouses za kike pale sokoni memorial moshi,binafsi ni mgeni Kanda hii ya...
0 Reactions
3 Replies
38K Views
Habarini wanajukwaa, Nimekaa nikajiuliza hivi kuna travel agents hapa Dar au Tanzania ambao unaweza kuwatumia endapo unataka kwenda nchi za Europe kwa ajili ya utalii. Maana naona sehemu kubwa ni...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kujua kwa sasa hivi kati ya biashara ya uber na kirikuu ipi nzuri?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu. Naomba kujua utaratibu wa kufuata ili kuisajili gari kama Uber/Bolt. Na pia gari nzuri kwaajili ya kufanyia hii biashara kati ya Passo, Ist, au Vits. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda huu, na poleni na harakati za kimaisha. Nikiwa na imani na members wa jukwaa hili, nina imani kubwa nitapata mchango wa mawazo ya biashara kulingana na maeneo niliyopo na...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa? Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau naomba kujua kama kuna taratibu zozote za kufanya ili kuweza kufanya biashara ya mazao lwa kuuza nje ya nchi hususani hotcultural ======= Mchango wa mdau Mimi sifanyi biashara ila Nina...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Habarini wakuu. Najua watakaopitia huu Uzi ni Watu wa Rika mbali mbali kuna waliofanikiwa, kuna wanahangaika mtaani na kuna wale ambao wapo masomoni bado na kuna wale ambao hawaelewi wafanye nini...
13 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau tupeane uzoefu! Kufungua biashara yako kwa mara ya kwanza nafikiri ni jambo exciting. Hebu tuashirikishane, ulifanya nini siku kadhaa kuelekea siku ya ufunguzi wa biashara na hatimaye siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kawaida lengo langu sio kujenga hoja bali kuibua mjadala kuhusu swala la BOT kuonekaka kupiga vita uwepo wa Bureau De Changes Nyingi nchini Kwanza tuanze kwa kujiuliza Bureau de Change ni...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom