Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarzi za Wakati huu; Wakati fulani nilipitia kipindi kigumu sana kibiashara na kujikuta ninayumba sana katika biashara na katika maisha kwa ujumla.Ndani ya kipindi kifupi sana nilipata hasara...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka.
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu, Natafuta wazo bora la biashara ambayo nategemea kuwekeza mtaji takribani million arobaini na tano za kitanzania na return yake napenda kushauriwa itakuaje kwa mwezi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu nauliza kama NMB wana huduma Ya kuweka Pesa (Fixed Acc) kwa mwezi Mmoja? Asante
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za leo. Naomba ushauri, nataka kufanya biashara ya juice ya miwa. Ni hivi sitaifanya mimi nitamuweka kijana afanye. Kwahiyo naomba ushauri juu ya hii biashara ikiwa itaweza kunilipa maana...
2 Reactions
65 Replies
20K Views
Mimi sio mchumi wala mbobezi wa tabia za binadamu. Natoa ushauri kama lay person. Toka TRA ianze kufanya kazi mnamo Julai 1, 1996 kumefanywa maboresho madogo sana ya upande wa kuzitambua tabia za...
2 Reactions
1 Replies
682 Views
Wasalaam Wakuu. Ubahili ni moja ya nguzo muhimu Sana katika kufanikiwa. Ni hali ya kuwa na nidhamu ya fedha kwa kujibana au kutafuta njia za kupunguza gharama zisizo na msingi. Lengo kuu hasa la...
46 Reactions
57 Replies
12K Views
Kama kutakuwa na uwezekano serikali ifanye jitihada za kupanda vifaranga vya samaki Tuna ambae mmoja anaweza kuuzwa kwa hadi milioni 70. Kama zoezi hili likifanikiwa basi tutaweza kuwauza nje na...
2 Reactions
167 Replies
32K Views
Habari wakuu! Nina leseni zangu 3 za uchimbaji mdogo wa dhahabu(PL) ambazo zipo ktk eneo moja ktk moja ya mikoa ya kusini ambazo nimezipata Mwaka huu.. 1 PL nimeanza kuifanyia kazi na nimepata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa aina ya kazi na majukumu ninayofanya na pia kwa utashi wangu binafsi huwa naona na familia yangu hasa watoto kwa nadra sana.Pamoja na kwamba huwa tunaonana kwa nadra mimi na watoto wangu...
4 Reactions
4 Replies
802 Views
Habari, Ninahitaji kujenga nyumba simple mshahara wangu laki 5 je nikisema nijilipue NMB au CRDB nivute mkopo wa million 9 nitakuwa nakatwa shillings ngapi? Msaada please [emoji120]
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Habar wakuu, ninahivi vitu nipesa za zamani zakuanzia mwaka 1916 nakuendelea anayetaka anicheki Asanten
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Huwa naamini sana katika biashara zinazohusiana na ujuzi flani flani kwani najua hata kama utakosa mtaji pesa ila ujuzi wako utakusaidia kwenda kupata pesa ya kuanzisha biashara yako mwenyewe...
14 Reactions
39 Replies
10K Views
The Honest Debtor is the kind of person who demonstrates a proactive desire to fulfill their payment obligation. Upon receiving the demand letter, they may make the first call to address it. They...
0 Reactions
2 Replies
333 Views
Ni matumaini yangu kuwa nyote ni wazima wa afya, Ndugu zangu ninaomba kujuzwa kwa wale wazoefu wa biashara ya kwenda Mombasa kufuata vijora ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata na mtaji ama...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana JF, Natafuta siagi za karanga, parachichi, kahawa, embe, shea butter, Sea moss, Bentonite Clay. Brown sugar, wheat etc Pia, natafuta (Not oils) Rose water, Aloe Vera(organic)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakongwe habari mie Kama Kawaida yangu nachokoza Mada na Leo nachokoza kuhusu Biashara ya kutengeneza samani (furniture) Kwa maana sofas, vitanda, dining table, etc. Hapa Wakongwe tuongelee...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari ndugu, Samahani naomba msaada njia gani nitumie ili kusafirisha mzigo wangu kutoka Senegal to Tz mimi ni mgeni kwenye jambo hilo mzigo ni mdogo ni box ndogo. Naomba msaada TAFADHALI
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Habar za kwenu wana JF. Naomba kujua kuhusu biashara hizi duka la spea za pikipiki, vifaa vya bomba au vifaa vya ujenzi (hardware) uzuri, ubaya, faida, hasara na mtaji wa biashara hizi.
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Back
Top Bottom