Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habar wana JF Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Habari zenu Watanzania wenzangu na Wengine pia!! Naomba kufahamishwa ni Taratibu zakufuatwa ili mtu afungue real estate agent business ( uwakala wa kuuza na kununua viwanja, Mashamba na Nyumba)...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je bado unatumia daftari kwa ajili ya kuhifadhi mauzo, matumizi, au umekumbuna na kuibiwa na wafanyakazi wako kutokana na kutokuwa na taarifa sahihi juu ya stock au mauzo ya duka lako la dawa...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Ninafikiria kuhusu kuanzisha soko dogo la kisasa, na litaendeshwa kisasa kweli kweli. Soko ambalo mteja akifika anamaliza mahitaji...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Anayefahamu biashara ya dagaa inavofanyika kisiwani Mulumo, wilayani Muleba aje anielezee tafadhali. Nataka kujitosa huko.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miaka 2. Pia, ni plartform gani naweza kuzipata kununua eos, chain...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jamii Forums Naombeni mnisaidie mawazo yenu kwa yeyote anaejua wapi nitapata chimbo la vyombo vya mtumba kwa bei ya jumla nimeanza kukusanya mzigo wangu kidogokidogo ila hawa...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Uliza maswali kadri uwezavyo, NHC watayatolea majibu/ufafanuzi NHC Website: www.nhctz.com NHC Facebook: www.facebook.com/nhctz Miliki nyumba yako leo kwa pesa taslimu au kwa mkopo wa nyumba...
14 Reactions
219 Replies
86K Views
Dada anasema muda pekee ambao, Familia nyingi za Kiaafrica huwa pamoja ni wakati ambao wanajiandaa na msiba, Ila Hata siku moja Familia haiwezi kukaa pamoja ili kuanzisha biashara au project...
21 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari ndugu, jamaa na marafiki katika mihangaiko yangu ya hapa na pale baada ya kusoma mawazo ya wadau humu, nimefanikiwa kufungua Bar nimekuja kwenu ili nipate jina zuri ambalo naweza kulitumia...
7 Reactions
80 Replies
8K Views
Wakuu Msaada, nina Kambale wakavu, nikawauzie wapi kwa haraka na ni jinsi gani ya kuwa treat wasiharibike mapema. Napatikana Kimara kwa no 0715270461.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu Nimepata tenda ya kreti za mayai (zaid ya mayai 9,000) kadhaa ya kienyeji nayotakiwa kusafirisha from Arusha to Dar. 1.Kwa jinsi mayai yalivyo fragile nilikua naomba kujua kutoka kwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nafikiria kuanzisha kampuni ya kupandisha wageni mlima kilimanjaro. Kwa sasa ninachojua ni kwamba. Lazima uwe na kampuni iliyosajiliwa BRELA na TRA. Sio lazima kuwa na gari. Magari ya kuwachukua...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Jambo wakuu. Nimechukulia usajili wa line za simu kama fursa kwa upande wangu, hivyo naomba mwenye ABC's kuhusu namna ya kuwa wakala wa kusajili line kwa finga- print anifahamishe yafuatayo: 1...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Naombeni ushauri nataka kuacha kazi ya kuajiriwa maana naona wanazingua now nataka niingie kwenye biashara ya kuosha pikipiki na magari. Jetwasher nzuri na original zinauzwaje iwe used au mpya...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mmnamo mwezi wa 10 mwaka jana baada ya kuona hali ya maisha inazidi kuwa ngumu, niliona bora niingize gari yangu kwenye hizi uber/taxify. Basi nikapata kijana mmoja akaniomba nimpe gari kwa...
26 Reactions
34 Replies
14K Views
Nilikuwa na vibiashara vyangu na Connection tamu na nzuri sana kutoka huko Aliexpress, Alibaba na mitandao mingi tu ya China kuhusu bidhaa. Nilikuwa nishajenga hadi mahusiano ya ukaribu na...
15 Reactions
53 Replies
10K Views
Wakuu sorry naomba kujua bei ya boxer BM 150 mpya, pia naomba kujua kama saiz bado zinapatikana kwa sabab nliskia zlifungiwa kuingizwa nchini
0 Reactions
6 Replies
14K Views
Habari wanazengo, Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya...
8 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom