Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Yaani ukimuandaa mtoto wako saizi unakuta huyo mtoto mpaka afike 25 anaexperience ya kutosha kwenye business kuliko walihitimu vyuo maana anajua ups and downs za business (mfano hai ni watoto wa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Watoto hufanya kile wanachokipenda ila mtu mzima kabarikiwa uwezo wa kuujua uhalisia, kubuni mipango na kuifata. Kuna kitu muhimu ambacho hakikwepeki mimi na wewe tunapotumia pesa, si kingine...
71 Reactions
58 Replies
12K Views
Habari za leo Ndugu zanguni. Natumaini wote wazima kabisa wa afya na buheri. Leo katika mada yetu tungependa kupata wasaa moja mbili kutoka kwa wahusika wa humu walio tayari na experience katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Husika na bandiko hapo... Mimi nipo Tanga nahitaji hii pikipiki nifanyie biashara ya bodaboda....iwe full documented. Mwenye nayo tuwasiliane PM. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Amani kwako! Nataka kufungua account mpya bank, ila naomba nipate ushauri kutoka kwa watu wa profession ya mambo ya banking, kwamba ni benki gani na aina gani ya account nikifungua itakuwa vyema...
0 Reactions
21 Replies
22K Views
A Professor explains MARKETING to MBA students; What's your favorite? 1. You see a gorgeous girl at a party. You go up to her and say “I am very rich. Marry me”. That’s Direct Marketing. 2. You...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Rai yangu kwa Watumishi wa Umma tunaoishi vijijini hasa maeneo yanayoruhusu shughuli za Kilimo, tujikite katika Kilimo kwa nguvu. Faida ni nyingi; 1. Uhakika wa chakula 2. Ongezeko la kipato 3...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF! Kwanza nitangulize shukurani zangu za dhati kwenu kwani nimekuwa nikijufunza mambo mbalimbali kutoka kwenu, asanteni sana. Nipende kwenda moja kwa moja katika mada, mimi ni...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) imefanya safari yake kwanza leo alfajiri kuelea mji wa kibiashara Guangzhou nchini China. Air Tanzania itakuwa inafanya safari zake moja kwa moja toka...
15 Reactions
93 Replies
11K Views
Wakuu poleni na majukumu. Mimi ni mjasiriamali mdogo niliyejikita katika mradi wa ushonaji. Kimsingi huwa nauza mashati ya shule, nashona kwa oda kwenye shule zinazohitaji na kipindi cha msimu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Binafsi napenda utanashati yaani full kupendeza. Yaani nimetupia pamba Kali, saa Kali na vitu kama hivyo But now nimejikuta nina interest sana na Pete (Si ya uchumba) bali ni single tu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu habar, nimewaita hapa, tupeane mbinu za biashara na changamoto zake, mbinu zangu mimi ni zifuatazo, huwa natumia mbinu ya kumwambia dereva kuwa ukileta hesabu wiki nzima, wiki inayofuata...
16 Reactions
133 Replies
31K Views
Mimi naomba mnishauri, nataka nianzishe biashara ya kuuza simu used ila sina uzoefu naomba wenye uzoefu wa hii biashara wanishauri. Na ugumu zaidi nauona kwenye kuupata mzigo wa kununua ili uje...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari za wakati huu; Leo nataka tuzungumzi kitu kinaitwa "Business Model"aka mfumo au muundo wa Biashara.Wajasiriamali wengi huwa wanakama katika Biashara kwa kujikita zaidi kujenga Biashara...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari, Nahitaji mwenye ujuzi wa kujaza E-filing ya TRA ya mwezi huu tu wa March 2021. Kama upo tayari dm niambie cost si maelezo marefu.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu wananchi, Leo naomba kuwauliza swali wakaz wa Dar mliopo humu JF Nimejiunga na ma group kadhaa yanaouza vitu used kutoka mikoa mbali mbali Kuna jambo moja linanipa utata...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, Naombeni mnisaidie kama ukikopa milion tano bank utakuwa unarudisha kiasi gani na kwa muda gani?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuu salam Nataka kufanya hii biashara Naomba mwenye ujuzi tushee Printer ya aina gani inatumika Materials Ujuzi Na upatikanaji wake Natanguliza shukran Nimeatach picha ya sample
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Shalom, Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu. Pamoja na...
7 Reactions
53 Replies
8K Views
Back
Top Bottom