Hizi hapa listi ya biashara zenye mtaji mdogo:
1) Kuuza matunda.
2) Kuuza juice mashuleni haswa kwa shule za msingi na sekondari.
Hapa ukifanikiwa kupata jokofu imara basi umeshamaliza kila...
Habari jamii mimi ni kijana wa kitanzania nafanya biashara ya production yenye huduma za picha mnato , video kwenye sherehe pamoja na photoshop pia ofisi yangu inajihusisha na kuweka software pc...
Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila...
Hii Kampuni inajihusisha na mikopo ya biashara, inafanya pia kazi online Tanzania kupitia huduma yao inaitwa Net Service. Yaani wanakupa mkopo sehemu yoyote Tanzania kupitia simu ya mkononi...
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kodi na shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali.
"Tunapotaka Serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo kwa fedha tunataka Serikali itumie fedha zaidi. Na...
Mwenye idea naomba anifahamishe jinsi ya kupata line za uwakala wa simu za mikononi kama vile Tigo pesa, M-Pesa nk.
Nisaidieni
------------------
KISHERIA: inatakiwa uwe natin namba naleseni...
Habari za wakati huu.
Lengo ni kutaka kuwekeza, pesa katika Biashara ya CHAKULA hasa mgahawa.
Je 5M inaweza Kufanya kitu kikubwa katika Biashara na kujitofautisha na wengine ili kuwa level ya...
Wadau mambo Vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono ntashukuru.
Ok. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa...
Habari zenu
Jamani hawa madogo wanaomaliza vyuo ni pasua vichwa bora sisi wenye la 7 zetu. Dogo kamaliza masomo kaomba mtaji wa kulangua dagaa na kuuza ila kaenda takriban trip 3 tu mtaji...
Masada anayekaa maeneo ya kuanzia kariakoo, Fire, mpaka upanga karibu na muhimbili.
Kama kuna anayeishi maeneo hayo au anafanya Biashara shida yangu kupata sehemu safi nitalotumia kuandaa matunda...
Neno customer care, sio neno geni masikioni mwa watu wengi. Lakini pia ni kiungo muhimu sana katika biashara. Kwa lugha yetu ya nyumbani tunaita "Huduma kwa wateja".
"Huduma kwa wateja ni...
Habarini Wana JF,
Nnahitaji Mkopo wa 2M kwa ajili ya maswala ya biashara. Mimi ni muajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali yaani NGO.
Nimejaribu kuulizia NMB ambayo ni bank ninayopokelea...
Habari wakuu daah kwanza samahani sana kama unakula kwa mama, slay queen, sharobaro au bado una bumu samahani kwa kukusumbua maana nahisi wenda hutonielewa.
Kuna hii biashara ya midoli ya mtumba...
Kila biashara ya rejareja Ina changamoto zake. Biashara ya nyumba za kupanga pia ina kero zake. Unapojenga nyumba ya vyumba sita na kuipangisha chumba kimoja kimoja ni rahisi kupata wateja. Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.