Habari wakuu,
Leo niko na swali moja, muhimu na sijawahi lipatia ufumbuzi.
Kwanini unaweza nunua gari nje kwa bei nafuu lakini, likifika Tnzania makato yanakuwa maradufu hadi unaanza likatia...
Kusitishwa kwa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na falsafa ya, "Quis Custodient, Ipsos Custodes."
Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulisitishwa kufuatia majadiliano yenye tija yaliyofanywa...
Mambo yanayoendelea nchini yameanza kuzua mashaka juu ya chanzo cha kifo ch magufuli
Hatutaki kuamini kuwa kifo cha Magufuli hakikuwa cha kawaida lakini matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama...
Money Secrets You Need To Know!
1. Savings will not make you rich
You need to invest the money saved in the air conditioner to get more of a profit from it. This will help you to be...
Uchumi wa nchi umekuwa Sana na kufikia uchumi wa kati kabla ya muda ulio kusudiwa, maanake tume break event.lakini Maisha ya Watanzania hayahakisi uhalisia wa mabadiliko hayo ya uchumi.
Makamu wa...
Baada ya Fremu ya laki na ishirini kwa mwezi kunitoa nishai nimeamua kukimbilia uswahilini, kwanza kodi ya mwezi mmoja (laki na ishirini) uswahilini ni kodi ya miezi minne.
Watu wengi mzunguko wa...
Binafsi ninekua mtumiaji wa tecno smartphone pamoja na infinix.. baada ya kusemwa semwa sana nikaona nivute kitu samsung galaxy a21s ...cha ajabu sioni tofauti kabisa..
Habari ndugu zanguni? Kwa mwenye uelewa kuhusiana hii site ya trucklocator ya nchini Uingereza. Hofu yangu isije ikawa ni ma conmen nikapigwa pesa hapa maana uchumi wenyewe ni mgum huu...
Habari Team
Mheshimiwa Rais,Waziri Mkuu& waziri wa Mawasiliano/Waziri wa ajira&Maendeleo ya Vijana.
1.Sisi ni sehemu ya wajasiliamali tuliopata ajila zetu ambazo sio rasmi kwenye mitandao ya...
Kuwa na reli ya kisasa inayokwenda kasi ni jambo la kiunchumi na kijamii/huduma. Lakini kutokana na hali yetu ya kiuchumi kuwa sio nzuri linafaa liwe la kiuchumi zaidi kuliko kihuduma. Yaani reli...
Wakuu,
Naomba kujuzwa kuhusu mbinu za kufanya biashara ya Stationary...faida zake na hasara.
Nahitaji kujua mambo gani yanahitajika kwa beginner wa hii biashara.
Asante ni.
Wakuu habari zenu,
Natumaini ni wazima wa afya, poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Lengo la bandiko hili ni kusaidia vijana walioko chuo na wanaotarajia kwenda chuo. Hoja ni kitu gani au...
Naomba kwa wanao fahamu chimbo la mtumba Grade A kwa Dar es Salaam, za uhakika sio wale wanaochakachua pia bei iwe nzuri sana. belly ziwe za suruali Cadet, Shati, Rubber na sandals.
Karibuni
Wandugu naomba kujuzwa bei ya vitu vya umeme mpakani Tunduma hasa friji maana nasikia kule bei ya vitu hivyo ni rahisi sana kushinda hata Dar nataka nijaribu kujichimbia huko siku za usoni.
Inawezekana unatamani biashara au kampuni yako kuwa na website mtandaoni, lakini huna fedha za kutosha kulipia gharama za kutengeneza website. Hivyo basi kuna njia mbadala ambayo binafsi naiona...
Heri kwenu wadau.
Napenda kujua kama kuna taasisi inayotoa mkopo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi (Mf. Shule za private n.k), masharti yake na makorombwezo mengine.
Naona sekta nyingi...
Licha ya kuwa juzi kati Tala walipata Tena uwekezaji wa zaidi ya bilioni 250 ($110 ml).
Leo hii nimepata taarifa kuwa Kampuni hii yetu pendwa haitatoa tena huduma Tanzania. Bado sijajua sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.