Source: Apongeza shirika kuokoa mabilioni
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)kwa kuokoa mabillioni ya pesa...
Habari, wana ndugu
Ni saa 7:30 usiku huu nikijaribu kutafuta majibu sahihi ya ni jinsi gani naweza kuagiza bidhaa kutoka China hadi kunifikia mikononi mwangu kwa uhakika zaidi.
Nina application...
Habari zenu ndugu zangu, nina mpango wa kuanzisha duka la vifaa vya pikipiki, ningependa kujuzwa mengi kuhusiana na biashara hii.
Binafsi hadi sasa nina mtaji wa 1m.
Karibuni.
Tatizo la kukosa mtaji limekuwa kubwa mno, watu wengi wanandoto za kufanya biashara ili kujikwamua kiuchumi, kila mtu anatamani walau afanye kitu kwaajili ya kupata rizki ila wanashindwa namna ya...
A few months after the statutory retirement of the former chief executive officer of the Tanzania Tourist Board, Mr. Peter Mwenguo, President Jakaya Kikwete has appointed Dr. Aloyce Nzuki to take...
Tangu umemaliza chuo ni kitu gani umefanya kimekukomboa katika maisha?
Mimi ndo kwanza nmemaliza chuo. Hamna chochote nlichoanza kufanya but nafikiria kuanza biashara ya urembo. Kujua kupaka...
Mara Nyingi Naona Matangazo Kwenye Mtandao Kuhusu Kikuu Online Shopping.Sasa Kinachonitatiza Ni bidhaa zinazouzwa Humo mbona Bei zake Ziko Cheap sana,Mara Ya kwanza Nilishtushwa Nilipoona Iphone...
hii ni moja ya kampini iliyo funga biashara zake tanzania mapema kabisa baada ya beana yule kushika madaraka
tafadhari kama mawakala mpo huku tunaomba shaurianeni mturejeshee huduma zenu kwa...
Habari Great thinkers
Nina idea ya kufungua duka la vifaa vya umeme (wiring, bulbs etc)
Naomba kujua gharama za kuanzisha duka Dodoma mjini, changamoto zake
Au kama kuna fursa nyingine nzuri...
Za mida wapendwa.
Uzi wa leo ni wa kuangalia za biashara zilizopo mkoa wa DSM tu. Na kama uzi huu utazaa matunda basi bila shaka tutaelekea mkoa mwingine.
1. Kushona nguo- hapa ukipata fundi...
Naomba ushauri nini nifanye nina mtaji wa tsh.20000 nifanye biashara gani?
Kwa kipindi hiki cha mvua (kifuku) nipo Nachingwea kijiji cha Mbondo natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu.
Wakuu natumaini mu wazima.
Natafuta mawasiliano na wauzaji wa bia kwa jumla pale Dodoma mjini. Kama yupo yeyote humu au kuna mtu anaweza kuniunganisha na muuzaji yeyote tafadhali nitumie namba ya...
Mimi Ni mama Lishe, niambie au nishauri,unachopenda kula au ukikute sehemu yangu ya biashara pindi unapohitaji kifungua kinywa au chakula chako Cha mchana unapokuja,ili ufurahie huduma yangu kesho...
Tambua!
*Nauli ya Buses
*Bei ya mafuta
*Bei ya beer
*sigaret
*Data
Vikipanda huaga havishuki , 100mb 500 /= tamko la serikali linazungumzia mitandao gani kurudi bei ya zamani? Hakuna mabadiliko
Mimi Nina uzoefu wa kuwekeza kwenye hizi mashine za kukatia mbao na nimekuwa nikifanya kazi hii kwa muda kidogo na vijana wangu Ila mwaka Jana mwishoni nilipata matatzo ya kifamilia ya ghafla na...
NEW GENERATION TEACHERS nawakubali sana ukiachana na kwamba nyie ni watumishi pia mnabusness oriented mind.
Mnajituma Sana kukijenga kiuchumi, Mungu azidi kuwaongoza katika shughuri zenu. Nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.