Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Nimefanya Forex tangu November 2017 na broker niliyekuwa nikimtumia ni JP markets. Lakini kwa sasa JP markets wamekuwa na changamoto mbalimbali zikiwepo changamoto za kutokuwa na mobile depositing...
0 Reactions
191 Replies
48K Views
Kama tunavyojua Tanzania kuna changamoto kubwa sana ya kupatika maji safi na salama hivi serikali inaruhusu mtu binafsi uweke maradi wako wa maji safi na salama uchukuwe pesa kama wanavyotoza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za mchana wakuu, kama kichwa kinavyoeleza, naomba kujua kwa wenye uzoefu nataka nianzishe kiwanda hapa home. Naomba kujua 1.Capital ni kiasi gani 2.Soko lake lipoje 3.Mateial.
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Natafta mdada anayeweza kutengeneza fresh juice , umri Kati ya miaka 18-30 Awe msafi (extremely) awe mvumilivu na ,mwelewa , Elimu form 4 ad above ..... Ajue location bora ya kuweka biashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MSAADA : Habari wana jamvi la biashara; Nina rafiki yangu yupo japani anauza magari kwenye kampuni moja hivi, sasa ameniambia nitafute wateja atanilipa kwa commision, uwezo wa kutafuta wateja...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kuuliza au hawakujipanga maana uzinduzi umefanyika muda mrefu na kwa mbwembwe kubwa. Kwa sasa sioni mwendelezo kwa walichokizindua.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekua na ushindani mkubwa sana wa kibiashara katika miaka hii ya karibuni, nikija kwa upande wa simu nazungumzia maduka kama aya APPLE SHOP/STORE etc ! Na maeneo Common ni kama Kariakoo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Habari za muda ndugu zangu wana JF, natumai mu wazima wa afya. Awali ya yote ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa mkuu ONTARIO na wachangiaji wengine wengi kama mashujaa wetu katika suala...
15 Reactions
62 Replies
20K Views
Natafuta mtu mwenye kiwanda kidogo cha kusaga unga chenye cheti kati ya hivi BRC au Fssc 22000 Nitampa kazi ya kusaga unga kila mwezi tani 100, sharti uwe na hicho cheti. Nataka kusapoti kiwanda...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Iko hivi:- Kila kukicha pesa yetu inashuka thamani 10,000 ya leo kesho itakuwa ni pesa ya kununua kikombe cha chai. Sasa maada yangu ipo hivi!: Ikiwa nimeweka 100,000 benki leo hii baada ya...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Wadau nataka nitumie fursa ya kupungua kwa riba benk ya CRDB. Lakini pia nina mkopo utakao isha mwakani. Kuna mtu kanishauri naweza tumia nafasi kupata ka pesa kidogo. Wazoefu nipeni utaratibu
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa inawakilisha asilimia fulani ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji (mwanahisa) anamiliki hisa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauliza kwa nini mafundi wa kushona nguo wanakuwa hawatajiriki na Kubaki hivyo hivyo miaka na miaka? Yaani unakuta fundi miaka na miaka Yuko hivyo hivyo.
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wapendwa nimepata matatizo nina shida ya mkopo wa dharula kwa waliopo Morogoro au popote pale nipo tayari kwa riba yoyote tareh 28 narudisha au kabla ya hapo, au kama kuna mtu anafahamu...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau naomba utaratibu wa kuwa wakala wa Halopesa kuanzia. 1. Namna ya kupata laini ya uwakala 2. Gharama zake 3. Wanalipaje commission Ahsante!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wadau... nimepata 100 Bahrain dinar kwenye mtumba nimeangalia exchange rate ni Tshs 69000. Nimeenda bank kadhaa naambiwa wanadeal na dollars pound na EUR so mwenye kujua wapi naweza kuichange.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello!, Hivi ni prepaid card ya bank gani nzuri kwa transactions za kutuma na kupokea online. Nina verified PayPal account ya Kenya na nahitaji kuwa napokea hela kupitia hiyo prepaid card...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
1. Who is Tony Elumelu? Tony Elumelu (full names are Anthony Onyemaechi Elumelu) is a Nigerian by birth. He is an economist by profession, holding three bachelor’s degrees and a Master’s degree...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama mshahara haupitii CRDB huruhusiwi kukopa CRDB kwakweli hii sheria mpya itatukimbiza wengi. Hiki kifo cha kujitakia na hakinaga pole.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu wote wa jf nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl) Sababu hasa ni hizi 1.interest au hob Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea...
25 Reactions
234 Replies
24K Views
Back
Top Bottom