Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari wana JF, naombeni alie na uzoefu huu aliekeze hapa chini ;- 1).Je CEO wa kampuni vitu gani hasa ( vya siri ) anatakiwa apambane navyo ili kulinda kampuni yake 2). Ni vigezo gani matajiri...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilishaagiza Toyota Noah kwa lengo la usafirishaji wa abiria,Lakini sehemu ambayo nilipanga kuitumia naona zimesitishwa, yaani mpya hazitakiwi tena, Sasa mm Gari ipo njiani toka Japan naombeni...
0 Reactions
77 Replies
12K Views
Wapendwa wote, Nafanya utafiti kuhusu microfinance ya dar es salaam na Arusha. Je, kuna taasisi maarufu inayohusika hasa kilimo? Nashukuru kwa msaada wenu, Asante
0 Reactions
1 Replies
839 Views
National Commercial Directory Ukihitaji namba za shirika lolote lile la kiserikali na baadhi makampuni ya binafsi na hata mashirika yote ya kimataifa utapata hapa www.ncd.co.tz Utapata: -Namba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nadhani kwa wale wenye idea na mambo ya movie making wanaelewa ila lengo la kuanzisha hii thread ni kukutanisha watu wenye mawazo tofauti ya idea moja. Na sio mawazo tu hata nyenzo(vitendea kazi)...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna hii biashara ya maziwa hasa mtindi huwa inafayika pale Ubungo kuanzia alfajiri, hitaji langu ni kutaka kujua wale wafanyabiashara mzigo wa yale maziwa mtindi wanachukua wapi na kwa gharama...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za muda huu wachakalikaji? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, sisi kama watafutaji na wafanyabiashara wa mafuta ya kupima na kuwauzia wakaanga mihogo, samaki, chipsi na wengine...
2 Reactions
13 Replies
7K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi, Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Nimekuwa nikifanya biashara ya Viatu vya mtumba simple za wadada na Raba kwa Dar ambapo Uwa nilianza kwa kupoint Hivi viatu soko la karume Alfajiri sana unajihimu. Kwa sasa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Mimi ni mteja wa hii kampuni kuanzia Tritel hadi kampuni kuuzwa kwenda Mobitel pia kampuni ikauzwa kwenda Buzz hadi leo hii kufikia kampuni kuitwa TIGO. Mimi yule yule nipo tu na hata namba ni ile...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari. Naomba ushauri aise katika hili. Nataka kuanzisha biashara yangu binafsi ya genge mix duka. Mpk dk hii tyr 90% nimeshafanya nimekod fremu meza shelf tyr nimetengeneza na rangi safi nyeupe...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wakuu. Ni nani anaefaham Vizuri kuhusiana na Biashara ya uuzaji wa Hizi bahasha (Vifungashio) Uandaaji wake Soko lake Changamoto
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za muda huu nipo hapa mbele yenu kuna ndugu yangu anataka kununua gari aina ya IST ila anataka kuitumia kwa matumizi ya aina kuu mbili kwanza kwa safari zake za hapa ana pale pia kwaajili...
2 Reactions
6 Replies
968 Views
Wataalamu wa masuala ya uchumi mtujuze tafadhali... Nini kinaendelea kwenye hili la kushangaza? USD 1 = SOMALI SHILLINGS 530/- USD 1 = TANZANIAN SHILLINGS 2300. Nini kimetokea hapa?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kila siku tumekua tunasikia malalamiko kuhusu ajira. Ni wakati sasa ukatiliwa mkazo wa kutafuta vipaji vya watoto na kuviendeleza. Kwa kuanzia ziteuliwe baadhi ya shule na mitaala ya michezo...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda...
11 Reactions
11 Replies
5K Views
Wana jamvi, naombeni mwenye kufahamu malipo ya makampuni ya simu yakiweka mnara kwenye uwanja wako.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Tafadhali kwa watu waliopo kwenye tasnia ya afya kibiashara, kikazi au kitaaluma naomba kufahamu taratibu za kufungua pharmacy.
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Hii nyama inaonekana tamu sana? Kwa wale waswalihina hapa mpite tu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Habari wakuu. Naomba yeyote mwenye biashara ya kutengeneza sabuni za mche hapa Arusha tuwasiliane anipe ujuzi. Kama upo Arusha au una contact za mtu aliye Arusha naomba msaada wako...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom