Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari: Nimekuwa nikifuatilia bidhaa nyingi kupitia social medias za wauzaji (kama facebook & Instagram). Nilichogundua wabongo wengi hawaandiki location walipo na bei ya bidhaa zao wanaficha...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
1.Mwendo wa soko ;) Soko la cryptocurrency kwa kawaida lina kasi kubwa au mzunguko mkubwa kulinganisha na forex kwa mfano bitcoin inaweza kupanda bei kwa lisa na kushuka bei kwa lisa,hivyo basi...
3 Reactions
77 Replies
16K Views
Wakuu hope mnaendelea vizuri Kuna mdogo wangu wa kike alimaliza chuo na sasa amemaliza almost miaka 3 kitaa bila Kazi, mwaka huu alitamani aende ila mambo yamebuma Nina kiasi cha laki 8 nataka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu hope mnaendelea vizuri Kuna mdogo angu wa kike alimaliza chuo na sasa amemaliza almost miaka 3 kitaa bila Kaz ,mwaka huu alitaman aende jkt ila mambo yamebuma Nina kias Cha laki 8 nataka...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za wakati; Watu wengi sana wana ndoto za kuwa wafanyabiashra na wajasiriamali.Leo nataka nisisitize jambo moja la muhimu sana ambalo kila mjasiriamlai tarajali anapaswa kulifahamu na...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wajumbe! Leo nimeona niongelee hili suala la tabia ya watu kujijaza dukani hasa wakati wa usiku na hawanunui kitu inavyokwamisha biashara. Mimi kama mteja nimeshawai ahirisha kwenda...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Tafadhali kwa yeyote anayejua au anao uzoefu wa gharama za uchimbaji wa visima naomba anielezee mchanganuo wake akijumuisha na gharama za uchunguzi (surveying) eneo nilipo ni Mbeya km 8 kabla...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu ,habari Naomba ambae anajua jinsi ya kupokea pesa toka Europe kupitia worldremit, yaani vitu muhimu ambavyo natakiwa kuwa navyo, mfano account na vingine vya msingi mpaka napokea pesa...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Ninaposema wenye pesa zao, nina manisha mitaji mikubwa.kuna watu wana pesa hawajui ni biashara gani ya kuzifanyia wanakimbilia kuziweka kwenye fixed account na kuambulia riba ya asilimia 11...
6 Reactions
41 Replies
8K Views
Habari wakuu poleni na majukumu ya kujenga Taifa Mana wazee tunapambana paka inafikia muda unasema sijui niende kigoma kucheki nyota kwanza[emoji16] By the way nilikua na mission za kununua...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Pikipiki ya miguu mitatu yaani guta inaleta faida. Tupeni uzoefu wenye biashara hii nataka nijaribu kununua
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Naomba msaada, ile TIN number ninayotumia kulipia road licence naweza kuitumia kwa biashara nyingine. Na je nahitaji kufanya kitu chochote huko TRA kama kujaza fomu etc kabla ya kuitumia kwa biashara.
0 Reactions
35 Replies
22K Views
Greetings! Kama kawaida leo nipo hapa nataka nikuonyeshe biashara au niseme side hustles unazoweza kuanza right now ili utengeneze pesa online. Binafsi nazitumia side hustle hizi na si blah blah...
14 Reactions
34 Replies
8K Views
Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara: 1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Hii ni mada mpya kwa ajili ya wajasiriamali katika mwanzo wa mwaka huu mpya.Katika mwaka 2020 nilifanikiwakufanya kazi na wajasiriamli 79 ambao walikuwa na mahitaji tofauti.Kati ya hao wote...
1 Reactions
2 Replies
593 Views
Wadau sana, habari zenu? Naomba kuuliza, kama mimi ni Consultant/Mtalamu nafanya kazi zangu na mashirika yasiyo ya kiserikali na napata angalau kamkate ka nyumbani, wale wanao nipatia kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye kufanya biashara ya uber aje anipe ushauri na mtaji nimeanglia biashara za kufanya nimeona nifanye uber. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
3K Views
BOT and TRA can parsue the following proposal to increase efficiency,transparency and ensure that we are going to spend public fund prudently 1. Each department within the government - police...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Changamoto wanayokutana nayo wafanyabiashara ni kutokulipwa madeni yao kwa wakati na hivyo kupunguza kasi ya mzunguko, wengine wanakopa wanakaa na hela mpaka mwaka. Na si kwamba hawana uwezo wa...
2 Reactions
1 Replies
873 Views
Back
Top Bottom