Habari wadau!
Kuna ndugu yangu ana pesa ya zamani ya mjerumani maarufu kama rupia, sasa anataka kuuza! Je soko lake liko wapi na huwa zinauzwa kwa bei gani?
Naomba mtaalamu wa mambo hayo...
Wadau;
Mimi ni mmoja kati ya Watanzania wenye hamu kubwa ya maendeleo kiuchumi katika Taifa letu, Nimeskia kuwa Wakoloni wa Kijerumani wakati wanaondoka nchini baada ya kushindwa vita na...
Nilikuwa nahitaji vibali tu vy gari lake (commercial car) ambalo saiv mwenye nalo anatumia kwa shughuli zake binafsi iliniadd kwenye account yangu nitumie gari yangu wakati nasubiri vibali vyangu...
Ripoti ya Mtazamo wa Uchumi wa Dunia iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) imekadiria kuwa, uchumi wa dunia utakua kwa asilimia 5.5 mwaka 2021, ikiwa ni asilimia 0.3...
Habari wakuu,
Hivi kwenye biashara hizi za mitandaoni kama ulilipia fedha mfano nusu ya gharama alafu muuzaji hajakupatia hiyo bidhaa na hata pesa anasumbua kurudisha, ni hatua gani mnunuzi...
Sijawahi kuwaza kwamba itatokea siku moja mfanyabiashara wa kitanzania kuwaza kuwekeza nje ya nchi. Anyway ndivyo ilivyo na itabidi!
Wadau wa biashara ambao pia hua mnakua na updated news za...
Wakuu,
Kwa dhati kabisa niseme pesa zipo nyingi sana kama utafahamu tu namna yakuzipata.
Ngoja nikwambie kitu.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza na kujaribu mbinu tofauti zakuanzisha...
Tafadhali wadu , yoyote mwenye uzoefu WA online shopping Kama kikuu , napenda kujua je ninwakuaminika? Na je wapo Tanzania au nje ya Tanzania.
Na wanaposema free shipping wanamaanisha ni. . je ni...
Samahani Wana JF, nimekuwa na uzoefu kidogo na kuagiza bidhaa China kupitia Kikuu App.
Wana kasoro kadha wa kadha, mfano kuchelewa kufikisha kwa baadhi ya bidhaa, ufinyu huduma kwa wateja...
Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki,
Mimi ni kijana mtanzania ambeye ndoto zangu kuu ni kufanya biashara punde nitakapo maliza kusoma (mwakani). Sasa nashindwa kujua nifanye biashara gani...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ni Taasisi ya serikali muhimu sana katika uchumi wa nchi hii kutokana na majukumu uliyo nayo sahihi na yatakayo ongeza baadaye. Kwa umuhimu wake kwa...
Habari za wakati huu;
Leo nataka nizungumzie jambo tata sana ambalo wengi hukutana nalo ingawa hawajui kama ni tatizo.Jambo hili linahusu uhusiano uliopo kati ya afya yako ya akili na mafanikio...
Natafuta eneo la kuuza juice ya miwa,nina mashine na banda na kila kifaa kinachohitajika hivyo natafuta eneo.
Likiwa Tabata segerea stand itafaa zaidi
Ni lazima kuena mzunguko mkubwa wa watu...
Fanyeni utaratibu tuweze kununua umeme kama vocha za simu na kuingia moja kwa moja kwenye mita.kwa kuwa mita namba inaelekea hili inawezekana kabisa enzi hizi za digital
Habari wanajamvi!
Kuna mtu ameniomba nishirikiane naye kwenye biashara ya uwakala/udalali wa tunu za kale na kwa maelezo aliyonipa ni kwamba tunu hizo za kale ni mali zilizoachwa na wakoloni kama...
Wakuu nitaenda haraka kwenye point
Nilikua nahitaji kujua hatua za kufungua biashara ndogo tu ya ujasiriamali, nimepata kaeneo kando kando ya barabara. kuna mtu anaweza kunipa hatua zote za kufata...
Habari wakuu..
Nimepatwa na matatizo makubwa sana ya kifamilia, kiasi kwamba nimemaliza akiba yote niliyojiwekea bank.
Nina shida ya haraka na mkopo wa TZS 350,000/=.
Nitazirejesha Kwa riba ya...
Printer izi za kutoa picha/Karatasi had ukubwa wa A4... Printer yangu ni Canon Niliponunua nilipewa na wino sasa umeisha nimeenda kununua wala cjaulizwa wa Printer gani nikapewa....Nilipofika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.