Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Fallyjan22 https://t.co/JuD4g8Pc3J https://t.co/2ptRbW2Q6f 1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo 2.Simple za kike zinapatikana 3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
What next for Tanzania’s LNG after Equinor cuts its annual balance sheet value? Norwegian oil and gas company Equinor has decided to reduce the annual balance sheet value of its Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Leo nimekwenda bank moja kuulizia namna ya kupata mkopo wa biashara. Vijana tujitahidi tujenge hizi taasisi za fedha hazina mpango wa wewe kama huna assets. Yaani kumbe hata ukiwa una kiwanja...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Nina mtaji wangu wa laki 5 hiyo ni nje ya kodi ya Pango naomba msaada kwa wale wenyeji wa Kariakoo maduka ya jumla ya urembo kwa bei nafuu yako maeneo yapi? Pia nisaidieni machimbo ya perfume na...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau naombeni ushauri ntaka kununua pikipiki kwa ajili ya matembezi huku porini. Kati ya boxer au TVS japokuwa nasikia kwenye matope zote zinasumbua. Natanguliza shukrani za dhati kwa ushauri...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Habari ndugu. Naomba kupata elimu ya hawa DSE pamoja na namna ya kutumia hiyo application yao kununua hisa. Ahsanteni.
1 Reactions
97 Replies
15K Views
Wakuu naomba tuelimishane namna yakupata wateja na changamoto ya kupromote page Instagram na facebook
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za uzima Wenu wana jf... Mimi ni kijana wa miaka 25 lastly year nilihitimu chuo ila kutokana na halj halisi ua ajira mwaka huu niliamua kujiajiri kupitia biashara ya viatu simple za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu kitaa nikaokota bangili yenye rangi ya gold/ dhahabu niliona kama bati tu ila roho ilisita kuitupa baada ya kuiona Ipo tofauti kidogo Mimi sina ujuzi wowote ule wa kujua...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Kampuni ya kimataifa ya uchimbaji madini ya Barrick Gold imetangaza kuwa imezalisha dhahabu karibu wakia 500,000 kutoka kwenye migodi mitatu iliyopo Kaskazini mwa Tanzania, mwaka jana. Hii ni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Salamu wadau!Tafadhali,wapi naweza pata kifaa/machine ya kuchajia betri za magari hapa Dar na kwa bei gani?Nataka nikafungie kijiwe cha kuchaji betri huko kijijini misaidieni.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu, poleni na Majukumu, naomba kujua kuhusu maisha ya Zanzibar, kuna rafiki yangu wa kike ameenda Zanzibar leo hii kutafuta maisha na hajui pa kufikia, nimemkataza lakini hakunisikia. Naombeni...
5 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari wakuu! Mimi ni kijana jinsia (me) Wasifu: Fresh graduate nina shahada ya Teknolojia Habari na Mawasiliano (ICT) kwa sasa nipo Dar naendesha biashara yangu, experience yangu kwenye...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nipeni maelezo juu ya soko la hiyo kitu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu, Niwape pole kwa mampambano mnayoyaendeleza nje ya mitandao kila mmoja kwa upande wake akiamini atapata kile anachokipigania. Bila kupoteza wakati nielekee moja kwa...
4 Reactions
51 Replies
9K Views
Nimeshawishiwa ni wekeze kwenye hisa, naambiwa hii ndio future. Wale mliowekeza huko, future mmeisha iona? Je, ni mahala sahihi kuwekeza?
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Nawasalimu wana jf wote popote mlipo Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wa kununua simu used na kuziuza napenda kufanya hii biashara ila uzoefu ndo sina kuna jamaa alinambia Nairobi zinapatkana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wenye uzoefu, nina hisa zangu TBL sina uzoefu kwani uwekezaji huo ulifanywa na mzazi miaka hiyo kwaajili yangu. Sasa nataka niuze hisa hizo je, utaratibu ukoje? Ni hatua gani natakiwa...
4 Reactions
37 Replies
9K Views
TBS tunaomba mumulike bidhaa za kikuu, hazina ubora kabisa. Kwenye matangazo wanaonyesha picha nzuri na za kuvutia, lakini ukiagiza hiyo bidhaa inakuja tofauti na yenye kiwango hafifu Cha ubora
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau nataka kufungua ofisi ya uwakala wa huduma za kifedha za simu. Sasa sijui utaratibu unakuwaje ili kufanikisha jambo langu. Mwenye ujuzi naomba msaada hapo
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom