Yaani ukiona biashara flani inafundishwa sana kwamba watu wengne wafanye ujue haina hela hiyo.
Hata kama ina hela bas ni vijihela
We ushawai waona wahind au waarab wanahangaika et mitandaon...
Habari ya Asubuhi.
Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika...
Habari ya leo, naomba msaada kwa mwenye uzoefu au anaemjua mwenye uzoefu, anisaidie uendeshaji mzima wa biashara hii ya michemsho na supu,
Kwa mawasilino zaidi 0753348841
Wakuu habari zenu, mimi kijana wenu nimesoma na nimemaliza shahada last year ya Ununuzi na Ugavi (Procurement & Supply)
Kutokana na changamoto za ajira wengine hatuna koneksheni na umri unakwenda...
Habar za wakati huu memba mwenzangu,ndugu,jamaa, na mwana jamiiforum mwenzangu. Natumai wewe unayesoma ni mzima wa afya na unaendelea vyema na shughuli zako na Mungu akutie nguvu kwa kila ufanyalo...
Niende moja kwa moja kwenye point kama heading inavyojieleza.
Lengo la hii thread ni kuomba wajuzi wa hii biashara tushauriane. Nimeanzisha biashara ya kuuza kitimoto Dar maeneo ya Kibamba njia...
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu
Nina miaka 18 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa...
Unakuta mtu ameajiriwa na analipwa not more than 1.2 millions Tshs per month. anakudharau wew mwenye mradi unaokuingizia not less than 3 millions per month.
Kumbukeni wengine tumesoma kama nyinyi...
Habari wakuu niliagiza mzigo wangu wa simu tarehe 22/09 tarehe 23/09 ukatumwa kuja tanzania kutokea china.
Juzi nilihofia kupoteza nikaandika na uzi humu
Nilitumiwa kwa njia ya posta mzigo...
Hivi wakuu hizi sayona juisi ni organic kweli, jee ni kweli kwamba ni embe? Maana wengine wanasema ni chemical tu zile hakuna cha embe wala nini huku wengine wakisema ni embe kabisa na ni juisi...
Nilishatoa hili sijui mwaka juzi...narusia tena
HILI LINAWAHUSU ZAIDI WIZARA YA UTALII, WIZARA YA AFYA, PAMOJA NA UHAMIAJI
Napendekeza kila tangazo linalotolewa liwe kwa Lugha mbili; Yaani...
Habari za humu Watanzania? Samahani nimeingia kikuu ili kuona kama kuna kitu naweza kuchukua ila kuna vitu sijavielewa vizuri ni kuhusu hizo voucher sijaelewa kabisa zinakuwaje kuwaje?
msaada...
Nimekutana na hivi vitu:
Foreign company
Private company Limited by guarantee
Private company Limited by shares
Public company Limited by shares
Unlimited Private company
Sina uzoefu na usajili...
Habari wana janvi?
Naomba kupata ABC za kuuza ng'ombe pale mnadani Pugu. Naomba kujua mtaji wake, upatikanaji wake, usafirishaji wake, vibali, jinsi ya kuuza, changamoto zake na faida...
Nimefatilia kodi za tra kwa magari yaliyotumika zimeongezeka ghafla, je huwa wanatumia utaratibu gani. Hii itawalazimu watu wengi kuacha magari yao. Kama umeagiza gari ni vema ukaangalia tena...
Heshima kwa wapambanaji wote!
Itoshe kusema itifaki imezingatiwa, na kwa heshima kubwa, napanda jukwaani nikilenga kujadili hili jambo la Export business!
Kwanza, hapana shaka kwamba Tanzania &...
Sasa sijajua kama hapa ndo pa kupaleta, lakini najua makampuni are sensitive to citizen journalism, so acha niseme tu.
Of late nikipiga simu kwenda namba ya vodacom via my vodacom line, ujumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.