Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Binafsi kama kijana wa R-chuga college graduate in IT baada ya kuona suala la ajira halieleweki nikaamua kujiajir kupitia mtaji wa kuunga unga na fani ambayo sio friendly kwangu yote hyo nipate...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Wakubwa.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
BRAND NAME:- HP EliteBook 820 G3 with backlight keyboard Generation Type :- 6th gen PROCESSOR / CHIPSET:-Intel Core i5 (6th Gen) 6300U / 2.5GHz 
 Max Turbo Speed:- 3GHZ 64-bit/ Computing yes...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Wakuu habari zenu, kutokana na uzoefu nilioupata kutokana na kupeleka watu machimbo ya maeneo ya biashara, nimeweza kugundua biashara nyingi za kawaida tu, zikiwa na faida nzuri tu, sasa nataka...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu; kichwa cha habari cha jieleza. Hivyo basi kwa mwenye ideas anipe mwanga juu ya hii fursa at least mtaji, aina za rangi,faida,changamoto n.k
1 Reactions
6 Replies
7K Views
Ukikutana na hawa mabingwa mara nyingi wanavaa kitajiri, wameshika simu za kuanzia Milioni, gari angalau la kuthibitisha ukwasi wao. Hupenda kukutana mahoteli ya kifahari. Nimependa kujua...
4 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari wakuu, Natumai mmeunza vyema mwaka huu mpya. Nijikite kwenye mada yangu. Mimi ni kijana ninaemaliza chuo mwaka huu 2021. Baada ya kuona changamoto ya ajira mtaani hasa kipindi kile cha...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Watumiaji wote wa simu aina ya Blackberry, pia simu za aina zote zenye android chini ya 5, iPhone 4, 5, na 6 pamoja na simu zote zilizotengenezwa kabla ya mwaka 2015 kuanzia kesho tar 1 January...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habarini. Kama kuna mtu anafahamiana na mtu ninayeweza kumwagiza perfume toka Zenji aniunganishe nae, naskia huko bei za uturi ziko chini. Wasalaam...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Kuanza biashara ni jambo moja lakini kuiendesha isimame na kudumu ni jambo lingine tena linalohitaji kutuliza akili na kuwa na nidhamu sana katika biashara. Zipo biashara ambazo huanzishwa na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nchi za Afrika zilizosaini mkataba wa African Continental Free Trade Area (AfCFTA) leo 1/1/2021 zinaanza kufanya Biashara bila vikwazo. Katika eneo la Afrika Mashariki ni Tanzania na Burundi...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Wadau nilipeleka gari kwenye gereji moja ..kurudi inapiga kwlele kama gari ya mashindano. Kumbe tayari wameshatoa ule unga kwenye vibuyu.. Nimetafuta maduka mengi spare haipatikani. Mwenye kujua...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Wapinzani walikuwa wanachelewesha maendeleo Mafuta ya alizeti lita 3 kutoka 8000 mpaka 15000 Lita 5 kutoka 12000 Mpaka 25000 Lita 20 kutoka 52000 Mpaka 77000 Tunasema mitano tena
7 Reactions
31 Replies
5K Views
Wadau naombeni ufafanuzi; Nilichukua mkopo NMB takribani miezi sita iliyopita makubaliano yalikua kukata kiasi cha marejesho kila mwisho wa mwezi lakini cha ajabu wanakata pesa mara mbili kwa...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Najua watanzania wengi tunapenda kitonga(mteremko) Hivyo ikitokea bidhaa kwa bei nafuu tunakimbilia huko Naomba kuwasaidia kuwafunga macho kwa hawa matapeli wa mitandano Ndg yangu ukiona kitu...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini ndugu na marafiki. Namatumaini wote ni wazima wa Afya. Poleni sana na majukumu na mapambano dhidi ya janga la Korona. Leo nilipokea simu toka kwa Rafiki yangu akilalamika biashara imekuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu umofia kwenu.Kuna jamaa yangu anataka kunipatia mashine za kufyatulia tofari,sasa sijawai fikiria hata siku moja kuja kufanya hii biashara,najua humu kuna wazoefu wa hii biashara naombeni...
0 Reactions
16 Replies
17K Views
Mkuu wa mkoa wa Dsm ametoa kauli ya kuyaponda magari aina ya IST kuwa ni magari wanayohongwa watu mitaani na yeye hawezi kuyatumia wala kumnunulia mtu magari aina hiyo. Ukiichukulia juu juu kauli...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana Ndugu. Kama wewe ni mzazi au kijana kama mimi na unataka ukasome Veta, fani ya uchongaji wa vipuli vya magari au mashine. Futa kabisa ilo wazo maana ni kujiingiza kwenye umasikini, Hii...
7 Reactions
77 Replies
47K Views
Habari za jioni wakuu! Mie kila nikitunza pesa ili nije ninunue kitu fulani ile pesa naishia kuitafuna kabla ya lengo husika, hata Matatizo au shida huwa zinazidi mpka inanipelekea kuzitumia...
5 Reactions
49 Replies
14K Views
Back
Top Bottom