Wakuu habari zenu.
Lagrangian nimerudi tena kwenu nkiwa na shida tajwa hapo juu.
Niliwahi kuja na bandiko la kutafuta mzalishaji na msambazaji wa Sabuni za Magadi za Kigoma zile za mawingu...
Nina mpango wa kuleta hizi kitu bongo siku za usoni,nani mwenye uelewa kwanza wa kodi zake kwa moja moja,au kwa container la 20ft au la 40ft kwa piki piki za aina hii used, na je soko lake bongo...
Habari, wanajamii?
Kuna wazo moja ninapenda nililete kwenu nikitumai kubadilishana mawazo nanyi.
Kuna huu mfumo, uliojiimarisha hasa katika nchi za magharibi, wa kujisomesha kwa kufanya kazi au...
Wana uchumi salama?
Naomba msaada wa kupata eneo zuri nataka nifungue biashara ya vinywaji na chips. Naomba connection kwa mtu yoyote wa kunisaidia hata madalali nipate eneo zuri lenye watu wengi...
Habari za muda huu mwanajukwaa.
Ninampango wa kufungua duka la dawa za mifugo pamoja na vyakula vyao. Sasa napata changamoto kuzijua sheria zinazonipasa kufuata.
Ikiwa ni lesen na vyeti je...
Magufuli hana mchezo, kwa wale wanaojua kizungu.
Chinese firms involved in money laundering racket face the music in Tanzania
New Delhi: Chinese involvement in money laundering has been growing...
Wakuu habari zenu mimi nipo Arusha ila nilikuwa nataka nianze biashara ndogo ndogo nilikuwa nataka nianze kuuza apple kuwafata wateja mahali walipo maana yake kutembeza.
Sasa nilikuwa nataka...
Habari wadau wa biashara na wajasiriamali wenzangu. Mimi ni kijana mpambanaji mwenzenu katika harakati za kusaka chochote nimekutana na mdau ameniwezesha kupatikana mashine ya kutengeneza juisi ya...
Yawezekana umefuatwa na watu wengi ambao kimuonekano kuanzia mavazi, simu, viatu, na magari ulishawishika ukadhani naweza kutengeneza pesa haraka kuliko kawaida. Inakupaswa ujiulize mambo haya...
Kwa wale wahenga mtakumbuka tulikuwa tukifundishwa juu ya aina za wanyonyaji, tulifundishwa juu ya makabaila na mabepari kwa ni wanyonyaji ambao kimsingi ndiyo wafanyabiashara.
Walifaulu vizuri...
Sijui niseme nini wakuu lakini kwanini Kariakoo ndo nyumbani mwa fake products?Mlikua mkisema humu nikapuuza nikaona mnaongea tu kweli nimeamini kariakoo asilimia kubwa ya Bidhaa ni feki
Simu...
Habari wakuu mimi ni mhitimu wa chuo kikuu lakini swala la ajira limekuwa gumu, katika kujitafuta kwangu nimepata laki sita za mtaji.
Naombeni msaada wa mawazo nipate kuanzisha biashara yoyote...
Habari ndugu zanguni!
Elimu ya leo nikuhusu namna ya kupata wateja 440 – 1,300 kwa siku,hawa ni wateja wanao ona bidhaa zako unazo uza au huduma unayotoa. Wateja hawa 440 – 1,300 ni wateja ambao...
Habari za muda huu,
Kwa taarifa niliyoipata ni kua serikali imeanza kupokea maombi ya wafanyabiashara wanaotaka fremu za stemdi mpya ya mabasi Mbezi Luis. Je kuna mtu yoyote anaejua hayo maombi...
Inasikitisha kuona viwanda vikifungwa na kugeuka magodown, viwanda vingi maeneo ya njiro vimefungwa, huku mamia ya watu wakikosa ajira, Kwa mfano kiwanda cha general tire kulikuwa na dalili za...
“Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.