Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habar za uzima wana JF, Naomba kwa mwenye elimu au uelewa juu ya biashara hii ya kufungua online shopping mall ndani ya Tz naomba anipe maelekezo hapa . Mfano wa Online Shopping mall...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu nauliza hii pesa bado inatumika ghana au ni uchafu tu kama uchafu mwingine. Nimeikuta kwenye kabrasha zangu pindi nafanya usafi.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za krismas wanandugu jf. Kama ilivyo ada mdogo wenu nipo kwenye harakati za kuijenga kesho, nahitaji wajuzi wa kuniangaza zaidi ya hapa nilipoishia kuona. Alhamdulillah mdogo wenu napata...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndio nataka kufungua ofisi ila nahitaji ushauri na kunielekeza pa kuanzia, usajili brela nina fahamu pa kuanzia ila sasa taratibu zingine mfano nini cha kufanya kama kuwa certified na TRA na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ushauri naomba ndugu; mtaji ni 1.6m nimefikiria kuanza uwakala wa gas naomba ushauri labda nini tofauti na uwakala wa gas naeza fanya kwa maeneo ya Kigamboni.
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Wale wazee wa kubet nipeni ushaur hapa nataka kutumia 500k kwenye betting weeknd hii lengo nipige 10m najua inawezekana. Je, ni betting (campun nzuri kwa kubetia?) na nitumie option zipi ambazo...
0 Reactions
92 Replies
21K Views
Habari wadau! Hii nchi watu hawaishi vituko, wakati serikali ikisifia kwamba mwaka huu tunaingia katika sikukuu huku mfumuko wa bei ukiwa umeshuka. Lakini kuna vichwa maji wanaamua kuleta...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Hakika kuna kupanda na kushuka. Sikuwahi kuwaza kama leo K-Vant atamkimbiza Konyagi kiasi hiki. Mmiliki wa K-Vant alikuwa QAM wa Tanzania Distilleries ltd (konyagi). Baada ya jamaa kufanya kazi...
12 Reactions
117 Replies
34K Views
Nakubali kuwa transaction za mitandao ya simu iko convenience sana ila haya makato yao sio rafiki kabisa ni kama wanatukomoa yaani. Ni bora ku transfer pesa kwa account za kibenki ndugu zangu...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Nilijiunga na huduma fulani ya ku host website bure kwa hostinger.co.uk. Wakanipa. Sasa nafanya upgrading kupata huduma bora zaidi. Nikatakiwa kulipia pauni za UK kama 15. Nimejaribu kulipa kwa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Habr, Waungwana naomba msaada juu ya hatima za mabank zilizo fungiwa kwa sababu ya kuwa chin ya kiwango.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimepata tenda ya kupeleka chakula shuleni. Nimeenda Shamba kununua nafaka nikalipa kodi. Nilipopeleka nafaka hiyo shuleni wakanipa pesa ambapo waliniomba risiti ya efd nikatoa na kukatwa kodi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu Makala hii naileta ikiwa katika muundo wa swali ambalo kama jamii na wenye mamlaka pia wanapaswa kujiuliza na hatimaye kutafuta njia sahihi za kuifanya jamii ione na iamini ya kuwa...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Watu wengi walipokuwa wanakutana na Albert Einstein jambo la kwanza walikuwa wanamuambia... “Einstein, Mungu amekujalia akili nyingi sana, wewe ni Genius”. Siku moja alipoambiwa hivyo akasema...
4 Reactions
3 Replies
719 Views
Watu wengi wakisikia neno Almasi, wanawaza pesa, madini yale ya thamani magumu kabisa. Na watu wengi hawajui kwamba nyundo inaweza kupasuapasua vipande vipande almasi. Diamond is the hardess...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
50/30/20 Hii Ndio Njia Rahisi Zaidi ya Kupanga Bajeti Yako. Njia hii ilianzishwa na Seneta mmoja Marekani jina lake anaitwa Elizabeth Warren. Elizabeth Warren alisema kwamba unapopanga Bajeti...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi nilikuwa na TIN toka mwaka 2011 na biashara ile sikudumu nayo hata mwaka kwa hiyo leseni ya biashara na tin yake vikawa vimeishia hapo, kipindi kile nafungua biashara makadilio...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni muongozo wa online shopping nzuri from Dubai kwa ajili ya vitu vya jumla. Maana naona kuna wadau wengne wapo humu ni kama vile wajanja wajanja hivi.
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale mlionibeza baada ya kushusha uzi wa Q NET hapa nafikiri mmeona mambo yaliyotokea. Hizi Ponzi Scheme zinakuja na ahadi nono za kitajiri na watoa masomo walishajua watanzania tukoje. Sasa...
4 Reactions
38 Replies
8K Views
Wadau naombeni ushauri Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom