Habari za Muda wadau wa Jf.
Naomba msaada wa kampuni inayosafirisha mizigo kwa njia ya Ndege toka China hadi Dar ili niweze kurahisisha ufikaji wa mizigo yangu.
Nimekuwa nikisafirisha kwa njia...
Kwanza nianze kwa kusema kwamb mimi ni msahuri mwelekezi wa Kibiasha kwa wajasiriamali wadogo na wakati hasa wanaofanya biashara zneye Mtaji au annual turnover ya kati yz TZS 10,000 hadi TZS...
Banda la kutosha nguruwe wa 5 kitaalamu linaweza gharimu Tsh 741500/= (makadilio ya juu)
GHARAMA ZA GURUWE 5
Guruwe wa miezi mitatu anauzwa 1@60000
Kwa nguruwe 5 *60000 = Tsh 300000/=
GHARAMA ZA...
Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi.
Nina miezi mitatu sasa natrade...
Hello wanajamvi,
Mtu fulani ughaibuni anataka mahindi, tani 100 (kilo laki), ila kwa Tshs. 400 kwa kilo.
Kama hili linawezekana kwako, njoo tuongee. Mda huo unatupa kisogo...
Nimecopy na kuileta humu
Naomba unisikilize na unielewe vzr sana.
Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au...
Wakuu .za asubuh...naomba msaada ..ni kampuni ipi Tz inayofanya usafirishaj wa mizigo from china ambayo angalau ina gharama nafuu...SIlent ocean naona wana gharama sana...
Angalau nipate kampuni...
Habari zenu wakuu, ninahitaji msaada wa mawazo kutoka kwenu,
Nina mpunga nimeupaki nimesubiri bei ipande ndio niuze je, kuna njia gani nyingine nitumie ili niweze kukizi mahitaj yangu maana naona...
Nianzie na Tips, kidumbwi, samaki, element yan hayo maeneo wanauza vitu bei ghali sana kana kwamba yako sayari nyingine.
Bei sio rafiki kabisa yan, ukiambiwa na pisi mkutane hayo maeneo bora...
Napenda kupata muongozo. Nimeotaji kununua machine ya kuchania mbao kutoka china. Sasa sijaelewa vyema ni kwa namna gani fedha zangu zitakuwa salama. Kwenye hii biashara ili niwe na uhakika wa...
Habari JF;
Mkeka huu UWE msaada kwa wenye KAMPUNI & BIASHARA, wanaohitaji msaada, wenye maarifa ya aina yeyote kufanikisha shughuri za KAMPUNI & BIASHARA.
SIO HIVYO TU, bali kwa wenye mawazo ya...
Habari,
Nina kijana wangu anaweza kutengeneza sabuni za mche nzuri tu. Sasa katika kuhifadhi, ninahitaji maboksi madogo madogo. Unakumbuka yale ya sabuni za komoa, mbunju, hata kodrai, mshindi...
Habarini ya Jumapili wakuu, mimi ni kijana wa miaka 23 nipo sam wea chuoni namalizia degree yangu fulani, leo nimekuja kuomba msaada wa kimawazo namna ya kuyaingia maisha ya mtaani.
To put...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.