Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani? Vigezo ni vipi?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepitia matokeo ya Darasa la Saba shule za serikali zinazofundisha Kwa mtaala wa Kiingereza zimekuwa zikifanya vizuri, Sasa kama watoto lugha ya Kiingereza wanaielewa kwa urahisi kwanini...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, Hivi mbona walioomba mikopo diploma hawajapangiwa?
1 Reactions
2 Replies
431 Views
Kwa anayejua, Naweza kujifunza wapi (chuo gani) elimu hizi, Cyber security na Information Security. Kwa anae jua tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
894 Views
Wakuu naweza pata full scholarship nje ya nchi kwa nchi za magharibi
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Dear researchers, Kama unahitaji msaada kwenye kufanya research Yako level ya masters au PhD or whatever level, please kindly uliza hapa na utapatiwa majibu na ushauri wa Hali ya juu. Kikubwa...
0 Reactions
19 Replies
943 Views
Je kuna mtu au pengine wewe umesoma degree ya electrical engineering ukakosa ajira au ukasota mtaan?.Nauliza hivyo kwa maana kuna dogo anataka aende kusoma electrical engineering mwakani mwaka huu...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
It's just an assignment, naomba msaada nimebanwa na Majukumu.
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF Naomba kuuliza utofauti wa hawa watu watatu,,,na ni kwa namna gan mtu anaeza timiza ndoto yake ya kuwa lecturer?
2 Reactions
31 Replies
3K Views
MJADALA WA ELIMU NA UDINI TANZANIA Adui wa Waislamu ni utamaduni wa kiarabu wa Ghuba  Ukristo, ama Uislamu na serikali si tatizo katu! Na Mobhare Matinyi, Washington DC Naomba...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Nilisikia kupitia radio one leo asubuhi kuwa, takribani asilimia 70 ya watahiniwa wa kidato cha nne wamepata alama sifuri katika somo la Hesabu? Kama ni kweli, nafikiri hakuna haja ya kutafuta...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni ipi course nzuri na yenye ajira kati ya BED in psychology na BCS.in chemistry and physics na zote zinahusiana na nini na field zake zipo wap msaada jaman kwa mwenye uelewa na haya mambo
2 Reactions
5 Replies
607 Views
Habarini wanajamiiforums,Mimi ni kijana ninayesoma kozi ya bachelor ya engineering in telecommunications engineering katika chuo cha DIT Nilimaliza kidato cha sita 2015, nikapata nafasi ya kusoma...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Form 6 mnaoenda kuchagua course kuweni makini. Sikupangii cha kusomea Ila angalia mda wako na tija.Toka 2015 walimu hawa hawajawahi pata ajira. Kuna reserve mtaani malori na malori. Najua wengone...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Closed
JE HOFU YA MITIHANI NA MADAI YA UGUMU WA SOMO LA HISABATI NDIYO SABABU YA KUFELI KWA NUSU YA WATAHINIWA MWAKA HUU? Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu? Poleni na msiba. Mungu awatie nguvu. Ninaomba msaada kwa mtu anayefahamu juu ya chuo cha Diplomasia kilichopo hapa Dar, Kurasini. Ninaomba kufahamu pale wanafundisha faculty zipi...
2 Reactions
14 Replies
28K Views
Wadau na watalaam wa masuala ya elimu, NECTA wanaweza kuunganisha cheti cha kwanza na cha pili ni cha kureseat mtihani na kupata cheti kimoja? Kama inawezekana nianzie wapi ili niweze kusaidiwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukidisco degree unaweza tumia cheti Cha form six ku-apply diploma, na ukitaka kuapply diploma unasoma miaka mingapi Ili umalize?
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwaka jana niliapply chuo cha RUCU Iringa na nikapewa mkopo ila kutokana na sababu mbalimbali sikuweza kuripot chuo hicho. Mwaka huu nmeapply chuo kingine je kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo...
2 Reactions
1 Replies
390 Views
Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc. Nataka nipambane nikasome majuu.
1 Reactions
5 Replies
656 Views
Back
Top Bottom