Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ninahitaji past papers za mitihani ya darasa la nne kwa ajili ya kijana wangu na wenzake
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi. Leo wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa. Hebu tukumbushane hapa nini hasa unakumbuka wakati unafanya mtihani wa kidato cha nne
5 Reactions
86 Replies
3K Views
Wandugu kuna ndugu yangu ananisumbua kuhusu Matokeo ya darasa la Saba. Eti ni kwel Matokeo yametoka mana ananisumbua nimwangalie mtoto wake na mm nimejitahid kutafuta nimeshindwa
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu samahani naomba mwenye kufahamu short courses za veta ambazo haziwezi kuchukua muda mrefu kujifunza (course isizidi miezi sita) ambayo unaweza kujiajiri au kuajiriwa anisaidie Pili...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Inabidi tuzungumze uhalisia wanajamvi matokeo ya wanafunzi wengi wa vyuo wa miaka ya hivi karibuni yamekua duni ukilinganisha na vizazi vilivyopita vya miaka 90s,80s,70s, GPA...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Chuo gani naweza kusoma diploma ya mwaka mmoja iwe coz yoyote tu
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kunatofauti ya herufi 2 katika cheti cha kuzaliwa na majina ya shureni je nifanyeje na mwakani nataka kuomba mkopo haitakua tatizo
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili. TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Hello, Tunatoa mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu ili kuwezesha kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Jinsi ya kutumia digital tools kuandaa graphs, diagrams na kupata step by step solution using...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
WALIMU 1832 wa madarasa ya awali ambao wameshiriki mafunzo ya Mtaala wametakiwa kuwa watekelezaji wazuri wa Sera iliyoboreshwa yenye kujumuisha mtaala mpya wa elimu nchini. Agizo hilo limetolewa...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Wakuu, Kuna hizi CSC scholarships. Kama kuna mtu ana uzoefu na hizi scholarships embu atoe mwongozo na simple procedures za kukamilisha hii. Tangazo limetolewa pia kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi...
1 Reactions
3 Replies
784 Views
Baraza la mitihani NECTA limesitisha utaratibu wa kutangaza shule bora na mwanafunzi bora wa matokeo ya kidato cha nne Kaimu katibu Mtendaji wa Baraza la mitihani Tanzania NECTA Athumani Salumu...
36 Reactions
143 Replies
11K Views
Mim ni kijana niliemaliza elimu ya degree/shahada miaka 7 iliyopita nilisoma bachelor of "education in economics and accounting " lakini sikuwahi kubahatika kufundisha kama mnavyoelewa nchi yetu...
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Habari ndugu na jamaa, Samahanini ninaomba kufaham nilijiunga na chuo mwaka 2022/23 then Nika ahirisha mwaka wa masomo (postpone) nikaambiwa nijiunge mwaka 2023/24 lakini kutokana na sababu...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu. Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita Binafsi...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kipindi cha kusubiri matokeo ya mitihani kwa shule za msingi na sekondari huwa ni mwezi 1-3. matokeo haya ndio uhamua mwanafunzi huyu aendelee na shule (kidato cha kwanza au kidato cha tano/vyuo...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Natumai muwazima wa afya wana JF. Asikudanganye mtu yoyote siri kubwa ya kwenda degree ya afya ukitokea diploma ni kupata G.P.A KUBWA (KUANZIA 4.5 MPAKA 5.O) Ukipata hiyo G.P.A Hakuna chuo...
4 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom