Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Asalam Aleykum wanajukwaa! Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu katika masomo ya Sayansi (Bachelor of education in Science). Nimetafakari kuhusu kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya masters degree...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari, Hivi naomba kuuliza, wakisema "verification is arleady, weight for another stage", ni stage gani inafuata?, na majina ya waliopata mkopo yanatoka lini? Maana naona watu wanaendelea...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu,kwa anayeijua hii kozi Kwa Tanzania ni chuo gani wanaitoa hii kozi na je ili uwe cardiologist unatakiwa uwe na vigezo vipi,asanteni
0 Reactions
6 Replies
958 Views
Ni janga la wanafunzi kuacha shule, sijui kama Serikali inalijua hili Wakati nchi nyingi duniani zinahakikisha wananchi na watoto wote wanapata elimu bila kumuacha hata mmoja ili kukabiliana na...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Tujadiliane. Mhitimu wa Stashahada ya Utabibu (miaka 2) na pengine aliye na uzoefu wa kazi, kwanini akienda kusoma Udaktari kamili (ngazi ya Shahada) asipunguziwe miaka ya masomo toka 5 kurudi...
15 Reactions
140 Replies
9K Views
Wakuu, habar za majukumu, nawakaribisha wana jf wenzangu wote tulipita pale Kigoma sekondari tukumbushane mazuri na karaha za pale shule... Kwa ufupi kigoma sec utakutana na misemo maarufu kama...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Habari wanajf Kuna baadhi ya changamoto hii ya kuandikiwakwenye allocation index no xxx not found imewakuta watu wengi ina maana gani?
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Wanajamvi habari za leo, nataka kufanya Masters in Computer security online, nimepata collage moja ipo spain inaitwa tech technological university, wapo nchini spain na wamekuwa wakinipigia simu...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Habarini wanajamvi na heri krismass na mwaka mpya! Naomba kujuzwa mtu mwenye masters ya open na yule aliepata masters yake pale Udsm wana utofauti gani watakapoingia kwenye soko la ajira!! Mfano...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
2024 SCHOLARSHIPS 1. Fully Funded Warwick Chancellor's International Scholarships: LinkedIn 2. Radboud University Full Scholarship 2024/2025 For Excellent International Students: Radboud...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari za muda huu mimi ni mhitimu wa Shahada ya Rasilimali watu (BHRM) kwa sasa nahitaji kujiendeleza katika Ngazi ya Shahada ya Uzamili (Masters in HRM) chuo kikuu huria Tanzania kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena. Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu. 6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO 6.1 Maeneo ya Kipaumbele...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau habari, naulizia chuo wanachofundisha umeme wa magari
0 Reactions
9 Replies
899 Views
Mimi ni nimwanafunzi wa advance combination ya PCM ninatamani na nina malengo ya kusoma kwa bidii ila kama akili imechoka ivi na ninavitu vingi sijakava na mda ndo unakalibia kuisha niingie kwenye...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Cha utumishi wa umma (TPSC). Mimi ni mnufaika wa mkopo kwa bahati mbaya namba yangu ya simu ilikosewa wakati wa usajili, nmefatilia Sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nimesoma diploma ya record management GPA3. 1nataka mwakani nikasome degree ila bado sijachagua. Tafadhari naombeni ushauri
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Habari members Je, serikali imeanza kuzitambua masters by thesis kweny mfumo mpya wa HCMIS? Naleta kwenu Maada, Kwa kigezo Cha serikali kwenda principle ni lazima usome relevant course? Je, ni...
0 Reactions
7 Replies
575 Views
Back
Top Bottom