Katika historia ya elimu yetu Tanzania kuliwahi kuwa na somo la stadi za kazi kwa shule za msingi ambalo lilikuwa msingi mzuri kwa wanafunzi waliokuwa na ndoto za ufundi.
Somo hilo lilifutwa...
Mimi nimhitimu wa chuo cha ualimu x ngazi ya kati yaani diploma nimepata GPA ya 3.6
SWALI: Je, kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi yakusoma shahada i.e. Bachelor chuo kikuu UDSM main kampasi...
Inatia mashaka na aibu kama Bwakwata (kundi dogo) la waislam nchini linapowapotosha waislam na wananchi wote wa Tanzania kuhusu lini iwe sikukuu za kiislam na lini isiwe kwa kutumia kifungu kwenye...
Naomba msaada wa kozi gani marketable chuo Cha kati kwa binti mwenye matokeo haya kidato Cha nne. Division 4 ya points 27
CIV - 'C' HIST - 'F' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
Nataka kujiunga na chuo cha Uhasibu,
Nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake...
Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa...
Naombeni ushauri wenu
Mimi ni mwanafunzi nilie malza form four mwaka Jana Nina ufaulu wa 1: 8 huku mkoan Lindi ndoto yangu ni kuwa rubani lakn familia yang hainauwezo uwezo. Naombeni ushauri wenu...
Habari za majukumu.
Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
Sikatai Mimi ni mwanafunzi chuo X. Sasa kuna swali tumepewa nimeshindwa kutoboa. Nimekesha sana
Nimeenda library sana. Tumejadili kwq pamoja na wenzangu ila nimechemka.
Naomba msaada tafadhali...
Habari za Leo wataalamu na wabobezi wa fani mbalimbali.
Niende Moja kwa Moja kwenye Maada. Naomba mwenye waraka/Mwongozo wa muundo wa kiutumishi (job schemes) unaosimamiwa na wizara husika...
Naomba kuuliza kwenu wakuu, upi ni ushauri wenu kwa Mimi/ sisi vijana ambao tupo vyuo vikuu, juu ya kuwekeza kupitia pesa ya boom.
Mfano mm apa had sasa nipo semester naingia semester ya nne nime...
Habari waungwana,
Poleni na hongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa, niokoe muda ili nisiwachoshe ndugu zangu, kitaaluma mimi ni mwalimu na tayari nina diploma ya physical education ambayo...
Kiswahili kinakuwa sana na Tanzania tunapata heshima sana kwa lugha yetu hii. Hii naina maana tusifundishe watoto wetu kiingereza-English kuanzia darasa la kwanza. Inasikitisha sana viongozi wetu...
Habari wanajamvi! Kuna mdogo wangu ni Mwalimu wa ngazi ya Diploma katika Shule ya Msingi. Ameajiriwa miaka ya karibuni. Anataka kujiendeleza kielimu Open University katika kozi ya Bachelor of...
Clinical officer waliomaliza Desember 2022 tumekuwa tukiomba transcript zetu tangu tarehe 10 January 2023 ila Cha ajabu mpk Leo . Transcript request status inasema RECEIVED
NACTE fanyieni Kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.