Habari yenu katika ujenzi wa maisha yenu. Nimehitimu chuo 2020 stashahada ya uhandisi majengo katika chuo fulani cha serikali hapa nchini.
Tatizo kubwa matokeo yangu yamekosewa katika mfumo wa...
Kwanza kabisa nawasalimu Sana.
Karibu Moja Kwa moja kwenye Uzi huu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na Elimu ya theolojia. Baada ya kuvuta subra, nimeona niingie rasmi kwenye theolojia.
Baada...
Bila shaka nyote wazima wa afya.
Ningependa wale tuliopiga Pure Mathematics A level...tujikumbushe mambo haya.
.Ni topic zipi/ipi ilikuwa ngumu sana kwako na ipi uliionea sana na changamoto zipi...
Habari wakuu
Nina mpango wa kutuma maombi kwenye chuo tajwa hapo juu, je hali ya mavazi ipoje mkuu, inaruhisiwa mikato ya aina yoyote au ndo uislam mwingi vibarakashia kama vyote ?
Kwa waliofanikiwa kufanya maombi ya ajira hizi za waalimu kuna sehemu nakwama kipengele cha elimu ya chuo, sasa kwa ngazi ya diploma kwanza Reg.Number ni gani Kwenye cheti ni Index Number na ndio...
Elimu bila ada kwa shule za shule za msingi na sekondari imeongezewa kwa asilimia 15.34 kwa mwaka ujao wa fedha 2023/24 ikilinganishwa na bajeti iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha wa...
[emoji1318]
WAKUU,
BINTI YANGU ALISOMA PCM MWAKA JANA,
MATOKEO YAKE NI "EDE",
WAKATI TCU WANATAKA ANGALAU "D" MBILI NDIPO MTU APATE UDAHILI WA KUSOMA DIGRII,
NA BAJETI YA KUMPELEKA KUSOMA DIPLOMA...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi shule ya serikali nipo vijijin lindi,nilikua nahitaji kusoma CPA lakini review classes zote zipo maeneo ya mjini hasa Dar, pia hofu yangu...
Habari poleni na majukumu samahani mimi na swali pia naomba ushauri wenu mimi ni mdogo wenu samahani sana.
Mimi nimerudia mwaka jana kidato cha 4 lakini baada ya matokeo kutoka nimefatilia result...
Habari ndugu zangu, naomba kufahamu kwa anayefahamu ubora wa bachelor degree zinazotolewa na chuo kikuu cha St. Joseph in University upande wa elimu kwani nina ndoto za kusoma chuo hicho.
Habari xenu wakuu, natumai ni wazima wa afya. Kama Kuna mtu ana hitilafu yeyote kiafya basi nichukue nafasi hii nimpe pole sana.
Dhumuni la kuja hewani leo ndugu zangu, kaka zangu, dada zangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.