Habari wadau.
Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu.
Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc.
Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa...
Idadi iyo ni sawa na 4.1% pekee kati ya wote waliofanya mtihani, huku wengine 484 wakitakiwa kurudia mtihani na 265 wakiondolewa kabisa baada ya kufeli.
Hali hiyo imefanya Wanasheria na wadau...
Habari wana JF, Mimi napenda kuuliza kwa mfano mtu una sifa za kuwa Assistant lecturer kwa maana ya GPA ya at least 3.8 undergraduate na 4.0 masters ukaamua kutuma CV Yako kwenye Moja ya chuo...
Habari wana jukwaa..
Natumai mko poa, niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu. mimi ni mwalimu niliyehitimu katika shahada ya ualimu mwaka 2015 katika masomo ya chemistry na mathematics...
JAMN NAOMBEN USHAURI
I'm a man ages 22
niko mwaka wa pili course ya regional development planning ila sina uhakika na hii degree natamn kuacha niongee na wazaz wanipeleke hata veta au short...
Habari ndugu zangu, naitwa Abel ni mvulana wa umri wa miaka 28. Nahitaji msaada wenu Tafadhali maana kwa kupitia humu nitaweza kupata hata nafuu maana akili yangu mawazo yangu nahisi yananifanya...
Nadhani umeshawahi kusikia mtu akisema "...tatizo una IQ ndogo sana.." na wewe bila kuchanganua hoja yake ukakasirika. Inawezekana ni kweli au sio lakini je IQ ndiyo kigezo pekee Cha kupima utashi...
Wakuuu salaaaam
Nimepata matokeo yangu ya UE nimesikitishwa. Kwa upangiliaji wa grade hizi sababu nilidhania A inaanzia 70 kumbe sio hapa chini ni muongozo wa grade hizo
A - 75 - 100
B+ - 65 -...
NAOMBEN USHAURI
I'm a man ages 22
niko mwaka wa pili course ya Regional Development Planning ila sina uhakika na hii degree natamani kuacha niongee na wazazi wanipeleke hata VETA au short course...
Eid Mubarak!
Huyu mwenzetu anauliza kama VETA wanatoa kozi ya HOTEL MGT na ada ni gani, pia ukiachana na VETA ni vyuo gani vingine vinatoa hyo kozi kwa hapa DSM na gharama zipoje?
Wana JF naombeni ushauri wenu.
Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
Habarini Wana jamvi,
Binafsi nina ndoto ya kuwa political leader hapo mbele na kama tunavyojua kuwa kila kitu kina maandalizi, nipo kwenye chama ngazi ya wilaya, ninajifunza mambo kadha wa kadha...
Wakuu habari za majukumu.
Naomba msaada wenenu nilidisco chuo mwaka juzi na sasa nataka kurudi mwaka huu.
Je, inakaaje kwenye masuala ya mkopo nitapata? Naombeni ufafanuzi.
Asante.
Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee. Polen na majukumu katika kuhakikisha familia na Taifa letu linaendea kusonga mbele.
Wataalam naomba ushauri, mdogo wangu amemaliza Diploma ya...
Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS
Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY
Masters in Arts in monotoring...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.